DTB walishaita kwenye usaili

DTB walishaita kwenye usaili

MKUNGUPAE

Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Waungwana kwema jamani? kuna kipindi DTB walitangaza nafasi za Bank Officer nami nikatupia hivi wameshaita watu kwene usaili, maana siku hizi ukisikia kimya umeliwa kichwa.
 
Waungwana kwema jamani? kuna kipindi DTB walitangaza nafasi za bank officer nami nikatupia hivi wameshaita watu kwene usaili, maana siku hizi ukisikia kmya umeliwa kichwa.

Ndo maanake ukiona kimya isha pita hiyo
 
Back
Top Bottom