Hata wafanyaje, huku mikoani hawatupati ng'oo, abudhabi sports tunakamua mechi zote za epl kwa sh 15,000 tu kwa mwezi. Walie tu hao jamaa imekula kwao labda wabadilike
daaah piga ua garagaza dstv ndo mpango mzma hakuna cha star times wala ting hao cheche tu wajua cheap sometimes is xpensive than u think. king'amuzi hakuna deal
Ingekuwa kama simu, PAY AS YOU WATCHGharama sana hao!! sio kwa faida ya mtanzania wa kawaida!!.
siku za nyuma mteja wa dstv compact ulikuwa huwezi kuona mechi live hata moja ya epl lakini siku hizi kutokana na ushindani kuwa mkubwa mtumiaji wa dstv compact anaangalia mechi moja ya epl live kupitia supersport select,ligi ya italy na mechi zingine unaziona siku moja baada ya kuchezwa.pia kuna channel ya movie iitwayo universal studio ambayo wameiongeza juzi tu kwa watu wa compact nao wanaipata pia nasikia october 14 wataongeza channel kama tlc na discovery id kwa compact na premium.
kule kenya,uganda na zambia dstv wameanzisha tv ya kulipia iitwayo gotv ambayo inapatikana kwa antenna kama star times,yote hiyo nikuhakikisha wanakaba mpaka penati.
Its true jamaa wako juu saaana! na kwa watanzania wengi DSTV mi naona ni kwa ajili ya EPL tu. Kinachoumaga ni pale ikiisha ukapiga mahesabu umeangalia mara ngapi kwa huo mwezi hesabu haziji kabisaaa, Bora waangalie jinsi ya kuanzisha utaratibu wa PAY AS YOU WATCH!!! Dar kuna kipindi walikuwa na package yenye S3 kwa 15,000 au 20,000 kama sikosei, kama bado iko wa-introduce ni mikoani watapiga piga bao kidogo.
channel 119universal studio iko namba ngapi?
daaah piga ua garagaza dstv ndo mpango mzma hakuna cha star times wala ting hao cheche tu wajua cheap sometimes is xpensive than u think. king'amuzi hakuna deal
Ukichukulia muda mrefu unakuwa huna umeme lakini bado unalipa ileile kwa kweli inauma sana ,Kenya <nigeria ni wajuaji tofauti na TZ na ndio maana huko wanakuwa na package za aina mbalimbali na nafuu ,huku wanatuona ni malimbukeni kwa hiyo wanatukamua wanavyopendaIts true jamaa wako juu saaana! na kwa watanzania wengi DSTV mi naona ni kwa ajili ya EPL tu. Kinachoumaga ni pale ikiisha ukapiga mahesabu umeangalia mara ngapi kwa huo mwezi hesabu haziji kabisaaa, Bora waangalie jinsi ya kuanzisha utaratibu wa PAY AS YOU WATCH!!! Dar kuna kipindi walikuwa na package yenye S3 kwa 15,000 au 20,000 kama sikosei, kama bado iko wa-introduce ni mikoani watapiga piga bao kidogo.