chukua azam tv
Sheria inataka kila kampuni lenye king'amuzi linatakiwa kutoa local chanel 5 bure, cha kushangaza multchoice hawazingatii hili, kifurushi kikiisha basi wanakufulumisha hata za bure hupati.

multichoice sio local TV (king'amuzi) wale ni international ni sawa na TV nyingine international za kulipia kama Qsat na nyingine. Ndio maana walikuwepo toka hata ving'amuzi vya local havijaanza
Sheria inataka kila kampuni lenye king'amuzi linatakiwa kutoa local chanel 5 bure, cha kushangaza multchoice hawazingatii hili, kifurushi kikiisha basi wanakufulumisha hata za bure hupati.
Sheria inataka kila kampuni lenye king'amuzi linatakiwa kutoa local chanel 5 bure, cha kushangaza multchoice hawazingatii hili, kifurushi kikiisha basi wanakufulumisha hata za bure hupati.
Kwani hamuwezi ku chakachua icho king'amuzi cha dstv mkawa mnaangalia chanels zao bureeee?
Ooh mtalipia sana tu