DSTV Sharing

Nadhani kuna decoder ambazo nipackage maalum na zina bei maalum ziawezesha hilo lifanyike bila uchakachuzi mkubwa. sometime implimentation nyingine inaweza kuhitaji kuchakachua mpaka Dish liwe na LNB mbili. nilisoma soma haya mambo zamani kwenye moja ya website ambayo ilinipa shule ni hii hapa inaitwa Mr Dish

kwa hiyo nadhani kabla ya yote decoder ya jamaa inatakiwa iwe na Dual view capable. Zaidi ya hapo ni TV zote kuona channel moja at specific time
 
kuna jamaa huko dar wanachakachua then unaangalia bure milele, unawapa 500,000/= as lumpsum then it will last forever wakishachakachua
 
kuna jamaa huko dar wanachakachua then unaangalia bure milele, unawapa 500,000/= as lumpsum then it will last forever wakishachakachua

hiyo kwa sasa hakuna ilishtukiwa kitambo
 
hiyo kwa sasa hakuna ilishtukiwa kitambo
Wameshtuka laakini kuzuia hawawezi coz kuna data encrpty card convertor waliyotengeneza wachina ni balaa yaani hata dstv wabadili code zao kila baada ya sekunde 30 hiki kifaa kinaencrypt hizo code ndio maana inakuwwa ni ngumu mno.
 
converter ipi hiyo?
mimi nilishatumia dial upsystem
Madishi mawili system
Dongle system
lakini kila baada ya muda fulani inapotea nadhani ni tempo solution tu hizo
 
hiyo ni cable tv service ama hii hii dstv ya multichoice?

dstv ila kuna watu wanakuwa wanasupply kwa cable, so zile channel unakuwa unasearch kama kutumia UHF, VHF..
 
ile ya dodoma si dstv ni huduma fulani ya cable tv network ambapo wale wasambazaji wanakuwa na access na free channels nyingi na wao wanazisambaza kwa customers ndo maana wale waliojiunga kwa hii huduma kwa mkoani dodoma utaona mpira wa epl wao wanaupata kupitia abudhabi sports channel...
 
hii mbona inawezekana vizuri tu,kuna vifa ambavyo watu wa cable tv wana tumia inabidi mnunue hapo kila mtu ata control tv yake.au angalia hata kwenye mahotel kuna kifaa wanatumia ndio maana kila room inajitegemea unachotaka kuangali.ni mambo yanayowezekana kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…