Kama siyo mpenzi wa mpira chukua AzamSalam.Dish lipi ukinunua hapa Kuna channel nzuri hasa Miziki na movie Kali.Ushauri please.
Naona chanel ni zilezile tu natumia zote mbili tofauti naonaga kwenye ubora tu wa videoHakuna mkali kwa Miziki?
Karibu ulimwengu wa DSTV MkuuNataka niwe tofauti kidogo,Azam nimekzoea mno sioni jipya
Kama sio sehemu ya biashara vifurushi ni bei juu, ukiweka nyumbani huku kuingia nyumbani ni usiku tuIla vifurushi DSTv vifurushi Package zipoje?
Datv si kuna cha elfu kumi?angalia maokoto yako yanaweza kumudu kisimbuzi kipi
dstv ni bora ila gharama ya vifurushi ipo juu