tototundu
Senior Member
- Jul 29, 2009
- 198
- 40
Jana niliona taarifa kwenye media mbalimbali kuwa DSTV Tanzania wameanzisha huduma mpya kwa watu wenye simu za 3G wanaotumia mtandao wa Vodacom kupata service ya DSTV mobile kwenye simu zao. Teknolojia hii ya TV kwa simu zenye uwezo wa 3G ipo pia Afrika Kusini, na ni tofauti na ile inayopatikana Ghana, Kenya na Nigeria inayotumia teknolojia ya DVB-H (Digital Video Broadcasting for Handhelds).
Ikiwa mimi ni mteja wa Vodacom na nina simu yenye 3G, na nipo eneo ambalo 3G inapatikana, ni vipi naweza kupata access ya hiyo huduma ya DSTV Mobile?
Ikiwa mimi ni mteja wa Vodacom na nina simu yenye 3G, na nipo eneo ambalo 3G inapatikana, ni vipi naweza kupata access ya hiyo huduma ya DSTV Mobile?