DSTV mobile app so far nimeielewa sana

DSTV mobile app so far nimeielewa sana

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salaam,
Tofauti na apps nyingine, dstv app for mobile devices iko poa sana. Kwanza UI iko fresh sana and friendly, contents za kutosha na hakuna ile mambo ya kustack-stack hovyo. Kwakweli nawapa cudos \
hawa jamaa
Screenshot_2020-02-23-04-02-32.jpeg
Screenshot_2020-02-23-04-04-50.jpeg
Screenshot_2020-02-23-04-04-59.jpeg
Screenshot_2020-02-23-04-05-39.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli iko poa sana mi natumia mapka kweny pc, desktop, simu yaani full maburudani cha kufurahisha ni kwamba haili kabisaa mb kuna sehemu ya kuseti quality uitakayo ina machaguzi ma4 kuna full HD na kawaida kati na ya mwisho kwa low quality na zote hata ya chini kabisaa inaonyesha picha vizuri sana kwa mb 200 kwa saa kwaiyo unaweza tazama mechi nzima ya mpira wa miguu kwa mb 300 kwa dakika zote 90 wakat app zingine zina kula mb hatari yaani mechi 1 mb 700 au gb kabisaa ila hii naipenda sana iko tofaut sana sana

pia ukiwa na account yao yaani ikiwa umeshaliza kujisajili waweza kuunga watu wengine wakapata chanel bila shida kama ww tu unavopata mi nisha waunga watu zaidi ya wa3 kupitia account yangu cha kufanya nakipa details zangu kisha na kuelekeza cha kufanya unakula raha mwanzo mwisho kifurushi nacholipia mimi kweny account yangu ni kikubwa kina kupa ww na mm kuangalia zaidi ya channel 120

hata zikiwa device zaidi ya wa5 haina shida najua wengine hawataaamini ila wale niliowaunga wanaamini hamna malipo ya kila mwezi ukilipa mara moja unakura raha tu full maburudani ni kwa malipo ya tsh elf10 tu nichek ukihitaji nichek kwa 0756 695846. Sina wasi wasi kuweka namba yangu hapa maana kitu nachoongea ni ukweli 1000% no wizi wala utaperi
PicsArt_02-18-04.42.14.jpeg
PicsArt_02-18-04.41.15.jpeg
PicsArt_02-18-04.40.22.jpeg
PicsArt_02-18-04.37.41.jpeg
PicsArt_02-18-04.36.34.jpeg
PicsArt_02-18-04.33.43.jpeg
Screenshot_20200218-163053_DStv%20Now.jpeg
Screenshot_20200218-163046_DStv%20Now.jpeg
 
Hawa ni watu niliokwisha kuwaunganisha na account yangu ya Dstv na wana kura burudani tu mwanzo mwisho kwa malipo ya tsh elf10 tu nichek na ww kama ukihitaji namba ya simh hiyo hapo juu, hakuna malipo ya kila mwezi ukilipa mara moja basi [emoji3516][emoji3516]kweny comment iliyopita au njoo kwa pm harafu baada ya kutuma hera kama hukuungwa njoo hapa waambie na wenzio kama mimi ni taper.
Screenshot_20200203-210508_Telegram.jpeg
 
Back
Top Bottom