Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Decoder ya Dstv ina reboot, haifungui channels. Tatizo limeanza jana mpaka leo bado linaendelea.
Ni kwangu tu au kuna maintenance inaendelea?
Ni kwangu tu au kuna maintenance inaendelea?