Dstv kila chumba bila decoder

nictbb

Senior Member
Joined
May 18, 2012
Posts
119
Reaction score
9
jamani wandugu kuna hii kitu inanikwamisha msaada tafadhali,kwa mfano una vyumba kumi,ukitaka kuweka tv kwenye kila chumba na kila tv iunganishwe na dstv decoder yake,lakini hizo decoder za dstv zote ziwekwe sehemu moja,na kila mtu aliyeko chumbani aweze kuchagua channels anazotaka remotely,nini na nn kinatakiwa na nifanyeje?msaada tafadhali wadau
 
Inawezekana ila inabidi kufanya kwa kutumia system inayoitwa ip television.tumewai fanyaga test ikawork.kama upo interested ni pm tuonane.nipo dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…