iYou want to close dstv in your jouse ?? very cheap and you see many channel 600 and more. me i use dstv because am big man. pay 125000 per month and see yourself Liverpool my tean win many match agaist Manyuum Liverpool number one now. like Yanga wo good team i like.
Asante mkuu,chanel gani za local huonekana hata usipolipia?
Usipilipia hakuna local Channel utakayoiona zaidi ya China news na nyingine kama Tatu hivi za kichina
iYou want to close dstv in your jouse ?? very cheap and you see many channel 600 and more. me i use dstv because am big man. pay 125000 per month and see yourself Liverpool my tean win many match agaist Manyuum Liverpool number one now. like Yanga wo good team i like.
Gharama ya system nzima, dish, king'amuzi na accessories zake ni 150,000/-. Vifurushi vinaanzia elfu 20 (access), kabla ya hapo hii access ilikua 16,500. Kama utahitaji, nitumie namba yako kwa pmjamani nimechoka na ving'amuzi vyetu hivi,nilianza na easytv then zuku nimemalizia na continental vyote naona hakuna unafuu,hata ni biashara huria hawa TCRA wameshindwa kutuokoa na unnecessary cost?
Sasa nijibane tu nifunge DSTV kwa mwenye uelewa wa cost zake please anisaidie pia vifurushi vyake vinakuaje
Ohhhh dstv if you not paid money. you see chnl ten and chinaman tv only. TBC is closed and dstv got four made in tz channels. TBC. STAR TV. CHNL TEN AND CHNL O. finish. itv no see butother channel oohh you see in highly definition. very clearer like superspot. close dstv in you household and enjoying many channels. no small road. only main road
Gharama ya system nzima, dish, king'amuzi na accessories zake ni 150,000/-. Vifurushi vinaanzia elfu 20 (access), kabla ya hapo hii access ilikua 16,500. Kama utahitaji, nitumie namba yako kwa pm
DSTV wana viwango tofauti kutokana na mahitaji yako
Kuna vinavyanzoa sh 18000 na kuendelea
Kama wewe ni mteja mpya utanunua vifaa ambavyo ni Dish,King'amuzi utapewa na fundi kama utakuwa unaishi eneo ambalo kuna ofisi za DSTV
Kiwango cha juu kabisa ni Platnum ambacho ni sh 1350000 kama unatumia single view,kama unatumia extra view utaongeza sh 15000 hapo kwenye kiwango cha single view
King'amuzi ni sh 120000,bei ya dish nimesahau kidogo
Kwa maelekezo zaidi fika kwenye ofisi za DSTV zilizo karibu nawe au tembelea tofuti yao!
Mkuu hapo kwenye bei ni laki moja na thelathini na tano? au milioni na laki moja na thelathini na tano?
Mkuu hapo kwenye bei ni laki moja na thelathini na tano? au milioni na laki moja na thelathini na tano?