Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,535
- 61,979
Inawezekana namba yenu ipo busy kama wasiopata huduma ni wengi (mawazo yangu tu)Sawa, tutajitahidi....ila ungekutupigia kwa namba yetu...au kuja kwenye ukurasa wetu.
Umenifanya ni switch on....mbona wako online mkuu, cheki tena!Ukiwasha dikoda yako utakutana na ujumbe huu
"We are experiencing technical difficulties, please wait"
Dstv jaribuni kusolve hili tatizo si mnajua leo wikiend kuna big games za kutosha.
Mkuu kwenye technical related issues kuna magumu kadhaaUkiwasha dikoda yako utakutana na ujumbe huu
"We are experiencing technical difficulties, please wait"
Dstv jaribuni kusolve hili tatizo si mnajua leo wikiend kuna big games za kutosha.
Hajalipia.Umenifanya ni switch on....mbona wako online mkuu, cheki tena!
Watarudi wakitoka kanisani, wasubiri usiondoke.Ukiwasha dikoda yako utakutana na ujumbe huu
"We are experiencing technical difficulties, please wait"
Dstv jaribuni kusolve hili tatizo si mnajua leo wikiend kuna big games za kutosha.
Imerudi hewani mkuuMkuu hiyo itakuwa kwako tu check na DSTV wakupe fundi akusaidie issue yako
Haya bhanaHajalipia.
Anadhani labda watz wote hawajalipia.
Watu tupo 203. Tunasubiri man derby.
Super sunday
Mkuu ya kwako tu. Wasiliana nao land a tatizo liko kwako.Ukiwasha dikoda yako utakutana na ujumbe huu
"We are experiencing technical difficulties, please wait"
Dstv jaribuni kusolve hili tatizo si mnajua leo wikiend kuna big games za kutosha.
Namba ngapi mkuuDstv ipi hiyo.?
me niko nachek Xvideo now
Jamaa kanikumbusha jana umeme umekatka najua Tanesco kumbe LUKU imeniishia.Hajalipia.
Anadhani labda watz wote hawajalipia.
Watu tupo 203. Tunasubiri man derby.
Super sunday