L Lady Mwali Senior Member Joined Nov 15, 2018 Posts 147 Reaction score 333 Mar 25, 2019 #1 Nauza dish la DSTV pamoja na king'amuzi chake.King'amuzi hakitumii kadi.Nipo Mabibo.
Glas JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 1,242 Reaction score 1,193 Mar 25, 2019 #2 Niko mkoan....ila nahtaji...vp bei Sent using Jamii Forums mobile app
Mdomo bakuli JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 3,442 Reaction score 7,020 Mar 25, 2019 #3 Lady mwali unachekesha sna! Kwahyo mtu akifika mabibo tu anakupata! Namba ya simu hujaweka! Mabibo ipi unapatikana? Jazia nyama tangazo lako Sent using Jamii Forums mobile app
Lady mwali unachekesha sna! Kwahyo mtu akifika mabibo tu anakupata! Namba ya simu hujaweka! Mabibo ipi unapatikana? Jazia nyama tangazo lako Sent using Jamii Forums mobile app
chenjichenji JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 1,773 Reaction score 3,538 Mar 25, 2019 #4 Lady mwali tuchekiane inbox tuyajenge mimi nipo jirani na shule ya Loyola... Sent using Jamii Forums mobile app
Lady mwali tuchekiane inbox tuyajenge mimi nipo jirani na shule ya Loyola... Sent using Jamii Forums mobile app
vamda JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 919 Reaction score 599 Mar 25, 2019 #5 Lady Mwali said: Bei 55000 kimetumika.Mawasiliano 0683155057 Click to expand... Kinaonesha chanel ngapi, cha kulipia au bure? Sent using Jamii Forums mobile app
Lady Mwali said: Bei 55000 kimetumika.Mawasiliano 0683155057 Click to expand... Kinaonesha chanel ngapi, cha kulipia au bure? Sent using Jamii Forums mobile app