DSTV Channel settings (msaada)

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
18,114
Reaction score
28,014
Wadau naombeni msaada mwenye kujua,mtoto wangu alichezea decorder yangu ya DSTV sasa channel zinakatakata, Nimekwenda pale kwenye settings nimekuta inasomeka UHF 46 na Frequency ni 671.25,ninatakiwa kubadilisha au iko sawa kunatatizo jingine?Kinachotokea ni kuwa unaweza kuwa unaangalia ghafla picha inapotea na kutoa msg kuwa smartcard yangu ina tatizo na baada ya muda channel zinarudi kama kawaida.
 
UHFT frequence ni signal kwa ajiri ya RF transimition hivyo wala haihusiki, pia decoder nyingi za DTV zipo ktk mfumo wa automatic search hivyo ni vigumu kufanya setting kwa kutumia DSTV Decoder moja kwa moja hivyo kama unataka tafuta receiver ya kawaida weka frequency ya DSTV kisha tafuta signal za kutosha ndipo uweke hiyo ya DSTV hapo utapata kitu clear kabisa. Bila shaka mkuu Arselona atakuja na ufumbuzi zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ni dish lako,tafuta fundi apandishe sgnal tatizo litakwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…