Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,464
tukiwakamata muwe na million kumi as faini la sivyo waweza kuingia jela kwa miaka hadi mitano
Be careful and what you wish...
Kama wewe magnifico ni mtu ambaye tunakujua usijifanye hatukufaha,u au nianze kutaja marafiki zako ndio ujue kuwa tunakujua..?? Be careful
hapana kamanda.... ni ile tu promo lakini yote kheri...Maujanja kama haya yote yanapatkana online, na sidhani kama yameanzia bongo, kuna blogs na forums wamejaa wachakachuzi wanapeana ujanja, kuna loopholes zipo nyingi sana kaka, na kwa vile hawa jamaa wameajiri wataalam pia ni lazima wagundue tu. btw kwani wewe hiyo loophole ungependa kuitumia milele? hahahaa. Pamoja kaka.:cool2:
mbona yapo mkuu
wakuu wote wa tanzania kipato cha chini. hivyo kizuri kula na wwenzako
kwa wale wapenzi wa DSTV instead of kulipia 120 kwa mwezi na bla bla ahhahaha watu wameoibua chimbo.
anayetaka huduma ya dstv na mautundu ani pm
samahani siwezi weka mautundu hadharani wakuuu
Maujanja kama haya yote yanapatkana online, na sidhani kama yameanzia bongo, kuna blogs na forums wamejaa wachakachuzi wanapeana ujanja, kuna loopholes zipo nyingi sana kaka, na kwa vile hawa jamaa wameajiri wataalam pia ni lazima wagundue tu. btw kwani wewe hiyo loophole ungependa kuitumia milele? hahahaa. Pamoja kaka.:cool2:
Ni PM plse. Natanguliza shukraniwakuu wote wa tanzania kipato cha chini. hivyo kizuri kula na wwenzako
kwa wale wapenzi wa DSTV instead of kulipia 120 kwa mwezi na bla bla ahhahaha watu wameoibua chimbo.
anayetaka huduma ya dstv na mautundu ani pm
samahani siwezi weka mautundu hadharani wakuuu
mbona yapo mkuu
wakuu wote wa tanzania kipato cha chini. hivyo kizuri kula na wwenzako
kwa wale wapenzi wa DSTV instead of kulipia 120 kwa mwezi na bla bla ahhahaha watu wameoibua chimbo.
anayetaka huduma ya dstv na mautundu ani pm
samahani siwezi weka mautundu hadharani wakuuu
mimi ni ofisa wa dstv. natumaini naruhusiwa kuku pm pia!
Nahitaji please ila sijui ku-PMwakuu wote wa tanzania kipato cha chini. hivyo kizuri kula na wwenzako
kwa wale wapenzi wa DSTV instead of kulipia 120 kwa mwezi na bla bla ahhahaha watu wameoibua chimbo.
anayetaka huduma ya dstv na mautundu ani pm
samahani siwezi weka mautundu hadharani wakuuu
Utapata PM toka DStv kwenyewe. Hapo sasa....sasa email ya nini wakati kuna PM..