DRVER ZA MODEM AINA YA HUAWEI E303h-1 za AIRTEL TANZANIA

DRVER ZA MODEM AINA YA HUAWEI E303h-1 za AIRTEL TANZANIA

Joined
Nov 14, 2014
Posts
20
Reaction score
2
Habari za saa hiz wapendwa mimi nina modem aina ya HUAWEI E303h-1 Hi-link ya Airtel Tanzania nina tumia
PC-DEll
RAM-760MB
WINDOW-XP PROFFESSIONAL
kila napoipachika kwenye pc yangu inashinwa kufanya installation hivyo inashindwa kufanya kazi ila nikitumia pc nyingine inakubali je tatizo ni nini?.
 
Back
Top Bottom