Utamtoroshea wapi ambapo hatutoweza kuwapata? Unacheza na wakurya wewe? Kama ng'ombe tu wasio na vitambulisho tunawafuta mpaka Kenya na kuwatambua na kuwarudisha zizini Tarime, itakuwa binti yetu?
Mwita Maranya hebu njoo huku uone huyu muharibifu
majany anavyotutishia!