Upo vzr kwa ubunifu, hongera na big upkwa mkazi wa dar kwenye jua kali na uhaba mkubwa wa maji jaribu kutumia njia hii kuotesha miti kwenye eneo lako.
chupa za maji ya AZAM LT 12 wanauza kati ya 2800 hadi 4000 ukishayanywa maji .jaza maji ya kawaida toboa tundu kwa chini pembeni kwa kutumia pini au sindano kisha weka karibu na mche na hakikisha maji yanadondokea usawa wa mche.
kwenye shamba langu nimeotesha miche kama 30 na inakuwa vyema kwani dumu ninakaa hadi siku tatu ..
happynew year
Umefanya vizuri mkuu, hii ni njia mbadala ya drip irrigation (low cost drip irrigation) na hasa inatumia local material na wewe naona umetumia chupa za maji!! nna maswali kidogo, ukitaka kujua mmea wako umepata maji ya kutosha unajuaje? na je mmea unapata kwa kiwango kinachotakiwa?hapo kwenye kila mche nimeotesha maharage punje 2
Kitaalamu inaitwa Field capacity. nimependa kipimo chako, kuwepo na unyevu nyevu (mind you, sio maji yaliyotuwama) kwenye shina la mmea ni dalili nzuri kwamba mmea una maji. Hii njia yako ntaifwatilia zaidi!! kila lakheri mkuu..upepo wa pesa asante ..ushauri wako nimeshaufanyia utafiti kabla sijaweka bandiko .
kuhusu kiwango cha maji nia yangu kuwepo unyevunyevu kwenye mti na kujiridhisha kama hata kama sina maji mengi uwepo uwezekano wa kuotesha miti
Hongera sana kwa ubunifu wako. Nimeupenda sana. Hongera sanaKwa mkazi wa Dar kwenye jua kali na uhaba mkubwa wa maji jaribu kutumia njia hii kuotesha miti kwenye eneo lako.
Chupa za maji ya AZAM LT 12 wanauza kati ya 2800 hadi 4000. Ukishayanywa maji, jaza maji ya kawaida, toboa tundu kwa chini pembeni kwa kutumia pini au sindano kisha weka karibu na mche na hakikisha maji yanadondokea usawa wa mche.
Kwenye shamba langu nimeotesha miche kama 30 na inakuwa vyema kwani dumu ninakaa hadi siku tatu ..
Happy new year..