Droo za Zain, Mmm...h? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Droo za Zain, Mmm...h?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Buchanan, Jan 21, 2010.

 1. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #1
  Jan 21, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,096
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Hawa Zain wanachezesha droo ya "Ongea uzawadiwe" lakini hizo namba wanazopiga hazionekani kwenye screen! Sasa tutajuaje kama hawapigii mtu wanayemfahamu? Sio wizi mtupu?
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,569
  Likes Received: 21,063
  Trophy Points: 280
  Halafu aibu tupu leo.mshindi waliempigia
  akasema ngoja nipande juu kidogo mawasiliano sio mazuri..

  Yaani....what a publicity.......
   
 3. Glucky

  Glucky Senior Member

  #3
  Jan 22, 2010
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 121
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  thats true i think gaming board wanaitaji kupitia swala hili hasa wakati tunapoelekea kupata vogue. inabidi namba ionekane
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,601
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Hii kitu na mm nilicheka sana! mtandao ulioenea nchi nzima!!
   
Loading...