Droni zawapa changamoto kubwa waongoza ndege

Droni zawapa changamoto kubwa waongoza ndege

Drone ikiingia kwenye engine ya Ndege inaweza kuleta madhara makubwa hata kusababisha ajali ya Ndege!

Hata Ndege myama anayeruka akiingia kwenye engine ya Ndege anaweza kusababisha ajali sembuse drone?! Engine ya Ndege ni sensitive sana!
Sasa mkuu drone hadi iruke juuu angani usawa wa ndege zinapopita...hiyo drone inaenda fata nini huko?... Au inanenda kupiga picha gani...
 
Hao Traffic Controllers ina maana hawajui hata TCAA mamlaka ya Anga nchini ambayo ndio Mamlaka inayowasimamia ilishatoa amri kwa barua na matangazo nchi nzima kuwa mtu yeyote anayetaka kutumia drone anatakiwa kuomba kibali na kusajiliwa na Mamlaka ya Anga, yaani TCAA.. sasa hawajui kitu gani wakati mamlaka inalishughulikia.. Alafu hapa kwetu, drones hazipo nyingi wala sio changamoto kubwa hata kidogo..
Huyu Nziku anabwabwaja tu.
 
Hicho ki-drone si kinapeperushwa na upepo huko mbali kabisa
Upande wa mbele wa jet engine ni sunction side , unavuta chochote kilicho mbele yake , na ndio sababu Kuna umbali hauruhusisiw kukaa Kama jet engine imewashwa. .
Drone inaweza kuvutwa na kusababisha mafhara makubwa kwenye engine
 
Kwa hiyo wanatoza kodi kwenye vitu visivyoonekana!
 
Sasa mkuu drone hadi iruke juuu angani usawa wa ndege zinapopita...hiyo drone inaenda fata nini huko?... Au inanenda kupiga picha gani...
Swali zuri sana mkuu,,,

Ni hivi mkuu,,, kinachowasumbua waongoza Ndege pamoja na wadau wa aircraft, sio kwamba drones zinaruka juu kuzifuata Ndege hapana mkuu,, Bali ni ule wakati wa Ndege inaporuka au inapotua!

Ndege inaporuka au inapotua huwa kimo cha chini sana ambacho drones nyingi huwa zinaruka kimo hicho, sasa maeneo hayo ndio sehemu za hatari sana, kwa mfano eneo la Dar es salaam kuzunguka Uwanja wa Ndege wa JNIA, KIA, SONGWE , NDULI, MWANZA, nk ambapo Ndege hushuka kimo cha chini ili kutua au hupaa angani kuanzia chini sasa zinaweza kukumbana Na drones Na kusababisha ajali mkuu,,

hao waongoza Ndege wanalalamikia maeneo hayo na sio anga la juu kabisa ambako zinazoweza kufika huko labda drones za kijeshi ambazo hufanya mashambulizi kama kule Afghanistan na somalia.
 
Apo nimekuelewa...sasa mamlaka inayohusika ingekuwa ingeweka namna wale wanaorusha drone maeneo karibia na airport kupata kibali kutoka mamlaka ya anga.
 
Mzee kuna drones za kijeshi zinaenda juu zaidi kuliko hata ndege yenyewe
Kama za kijeshi it means nazo zipo katika upande wa serikali...hivo ni wanajichanganya wao kwa wao kati ya sekta flani na sekta ingine...hakukuwa na haja ya kwemda kwenye vyombo vya habari.
 
Apo nimekuelewa...sasa mamlaka inayohusika ingekuwa ingeweka namna wale wanaorusha drone maeneo karibia na airport kupata kibali kutoka mamlaka ya anga.
Nikweli mkuu,,, na kama nakumbuka mamlaka ya mawasiliano ilishatoa tamko kuwa lazima drones zote zipate usajili kabla ya kuanza Kazi, kila mmiliki wa drones lazima awe na kibali cha umiliki na kufanyia Kazi.

Pia kungekuwa na sheria lazima kuwe na taarifa kwa mamlaka ya anga kabla ya kurusha drone yoyote, likifanyika hili itakuwa rahisi kudhibiti isije ikatokea ajali kati ya drone na Ndege.
 
Kujijweza na kutafuta sababu na visingizio tu. Nani mwenye drone yenye uwezo was kupaa mpaka ndege zinakipita huko juu. Hata hivyo hapa hatuna air traffic kubwa sana mpaka drone zionekane tishio. Pia hatuna done nyingi za kuleta madhara
Drone Inaenda Juu mita 5800M na horizontaly inaenda 7Km

DR. DRONE ,call me if u have any qn abt drone. Na pia tunarepair drone zaa aina zote karibuni
 
Back
Top Bottom