Simtetei Lugola na simjui, wala sipingi sheria ya manunuzi ambayo ni hewa na haitumiki, nnachopinga ni drones kuitwa vitu vya kipumbavu.Watetezi wa Lugola mnakwama wapi? Hawajatimuliwa kwa kununua drones bali kwa kukiuka sheria ya manunuzi. Hii ni kwa mujibu wa Rais. Jikite kwenye hoja ya mkulu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimsikia Raisi akizizungumzia hizo drones?Watetezi wa Lugola mnakwama wapi? Hawajatimuliwa kwa kununua drones bali kwa kukiuka sheria ya manunuzi. Hii ni kwa mujibu wa Rais. Jikite kwenye hoja ya mkulu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Rais amesema wamesaini mkataba? Amewaagiza mawaziri waangalie namna ya kuuvunja?!Pamoja na Ukomedi wake Kangi kwenye hili kaonewa
Na hata ni aibu kuwa Kamishna General Andengenye na MAJ general Kingu wametakiwa kujiuzulu kwenye hili ; ni uonevu na majungu tu
Kwanza hakuna Memorandum Of Understanding inayohitaji kibali Cha Bunge ; kwenye manunuzi nyeti ya vifaaa vya ki usalama hakuna kampuni inayoweza kukupa tpur kwenye facility zake ikiwemo demonstrations bila mwisho kutaka msaiini MoU.
Hapo haitaongelea uwezekano wa kununua tu bali nao wanajilinda juu ya uwezekano wa kuwatembelea wakawapa taarifa zao na nyie mkazitumia kuwapa washindani wao... kuna mambo mengi.
Kuwa na MoU haikua inawalazimisha kununua bali ni “Nia Njema ya uwezekano wa kununua; intention “
Ni aibu kuwa wanaomzunguka Rais wametuhusu atumie sababu isio na mshiko kufukuza watu kazi
Hii itakua inauwa ubunifu ; moja ya kazi ya majeshi yetu ya Ulinzi na usalama ni kuzunguka duniani kote kutafuta teknelojia mpya na hakuna kampuni au nchi watakayoenda na kuruhusiwa kuonyeshwa technology bila kusainishwa MoU hata kama ni “non disclosures “ bado ziko in the form of bilateral mou ... Sasa kama wanafungwa mikono watakuwa wanasafiri wanarudi hawajaonyeshwa lolote la Maana kwakua wanaogopa kusaini .. na hizo terms huwa zinakuwa shared hata kabla ya Safari
Hadi kuchukua uamuzi wa kununua teknelojia ya Kiulinzi na usalama Timu zilizoenda nchi mbali mbali hufanya presentation kwenye Kamati maalum na ndio huamua kampuni gani ichukuliwe mkataba wa mwisho wa kujadiliana Malipo hapo hujadiliwa na Hazina na lazima Rais ahusike na kama ni pesa nyingi lazima Rais wa nchi yenye kampuni ahusike kama kunahitajiika dhamana ya mikopo.
Pia kuna baadhi ya vifaaa ikiwemo hizo high tech lazima pia kibali Cha kuruhusu technology na mitambo kuuzwa hata kama mnanunua kampuni Binafsi Rais wa nchi inayouza akubalii kwa kusaini na pengine kwa mazungumzo na mwenzake wa nchi inayonunua.
Hiyo hatua waliyowafukuza ni jambo la kawaida mno kwenye sourcing na ni hatua ya awali sana ambayo sio lazima hata Rais kutaarifiwa pengine ingeweza kuchukua hata miaka miwili mbele kabla ya mkataba halisi wa mauziano kufikiwa
Kwenye hili kama ni harufu ya hujuma itakuwa kuna waliomzunguka Rais wana kampuni zao au yao ambayo wangependa itembelewe wakaona haijapewa kioaumbele wakaamua kupotosha
Kwa watu weledi kama MAJ gen Kingu na CGF andengenye wana uzoefu wa kutembelea hizo kampuni kutokana na historia zao na kabla ya kufanya shortlist ya kampuni za kutembelea kutafuta technology fulani lazima tathmini ya awali hufanyika kutokana na mahitaji na wataalamu ndio huamua kampuni ambazo wanadhani zitafaa kwenye Kila category ya vifaaa ( preliminaries)
Pia nadharia nyingine huenda tu hataki kuwanunulia vifaaa hivyo ameamua kudiscourage mchakato ina maana hata CGF atakayekuja hatadhubutu tena kuomba vifaaa... na watabakia zimamoto jina tu.
Mbona Australia hawazitumii, na wanateketea mwezi wa NNE huuSimtetei lugora na simjui, wala sipingi sheria ya manunuzi ambayo ni hewa na haitumiki, nnachopinga ni drones kuitwa vitu vya kipumbavu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hujamuelewa anko katika suala hili nyeti hadi awe na hasira na aweze kuchukua hatua hyo :-Pamoja na Ukomedi wake Kangi kwenye hili kaonewa
Na hata ni aibu kuwa Kamishna General Andengenye na MAJ general Kingu wametakiwa kujiuzulu kwenye hili ; ni uonevu na majungu tu
Kwanza hakuna Memorandum Of Understanding inayohitaji kibali Cha Bunge ; kwenye manunuzi nyeti ya vifaaa vya ki usalama hakuna kampuni inayoweza kukupa tpur kwenye facility zake ikiwemo demonstrations bila mwisho kutaka msaiini MoU
Hapo haitaongelea uwezekano wa kununua tu bali nao wanajilinda juu ya uwezekano wa kuwatembelea wakawapa taarifa zao na nyie mkazitumia kuwapa washindani wao... kuna mambo mengi
Kuwa na MoU haikua inawalazimisha kununua bali ni “Nia Njema ya uwezekano wa kununua; intention “
Ni aibu kuwa wanaomzunguka Rais wametuhusu atumie sababu isio na mshiko kufukuza watu kazi
Hii itakua inauwa ubunifu ; moja ya kazi ya majeshi yetu ya Ulinzi na usalama ni kuzunguka duniani kote kutafuta teknelojia mpya na hakuna kampuni au nchi watakayoenda na kuruhusiwa kuonyeshwa technology bila kusainishwa MoU hata kama ni “non disclosures “ bado ziko in the form of bilateral mou ... Sasa kama wanafungwa mikono watakuwa wanasafiri wanarudi hawajaonyeshwa lolote la Maana kwakua wanaogopa kusaini .. na hizo terms huwa zinakuwa shared hata kabla ya Safari
Hadi kuchukua uamuzi wa kununua teknelojia ya Kiulinzi na usalama Timu zilizoenda nchi mbali mbali hufanya presentation kwenye Kamati maalum na ndio huamua kampuni gani ichukuliwe ... mkataba wa mwisho wa kujadiliana Malipo hapo hujadiliwa na Hazina na lazima Rais ahusike na kama ni pesa nyingi lazima Rais wa nchi yenye kampuni ahusike kama kunahitajiika dhamana ya mikopo
Pia kuna baadhi ya vifaaa ikiwemo hizo high tech lazima pia kibali Cha kuruhusu technology na mitambo kuuzwa hata kama mnanunua kampuni Binafsi Rais wa nchi inayouza akubalii kwa kusaini na pengine kwa mazungumzo na mwenzake wa nchi inayonunua
Hiyo hatua waliyowafukuza ni jambo la kawaida mno kwenye sourcing na ni hatua ya awali sana ambayo sio lazima hata Rais kutaarifiwa pengine ingeweza kuchukua hata miaka miwili mbele kabla ya mkataba halisi wa mauziano kufikiwa
Kwenye hili kama ni harufu ya hujuma itakuwa kuna waliomzunguka Rais wana kampuni zao au yao ambayo wangependa itembelewe wakaona haijapewa kioaumbele wakaamua kupotosha
Kwa watu weledi kama MAJ gen Kingu na CGF andengenye wana uzoefu wa kutembelea hizo kampuni kutokana na historia zao na kabla ya kufanya shortlist ya kampuni za kutembelea kutafuta technology fulani lazima tathmini ya awali hufanyika kutokana na mahitaji na wataalamu ndio huamua kampuni ambazo wanadhani zitafaa kwenye Kila category ya vifaaa ( preliminaries)
Pia nadharia nyingine huenda tu hataki kuwanunulia vifaaa hivyo ameamua kudiscourage mchakato ina maana hata CGF atakayekuja hatadhubutu tena kuomba vifaaa... na watabakia zimamoto jina tu.
Una chekesha kweli!! Kwa uwezo wetu huu, wa tia mchuzi kwangu pakavu, achana na tambo za kisiasa, kuwa sisi ni rich country, kati ya hizo drones na magari ya zima moto kipi kinatakiwa kiww kipaumbele chetu?? Magari tu tabu, unakuta wilaya nzima lipo moja tu, leo ukimbilie huko?? Kwa Tz zima moto kuwa na drones ni matumizi mabaya ya fedha kwa sasa.Mkulu ameshangaa kuwa Drones zinahusika vipi kuzima moto. Drones ni moja ya technology rahisi kuzima moto kwani.
Zimamoto ndiyo taasisi inayohusika na uokoaji wowote wa raia inapotokea moto au tatizo lolote.
Mkulu kawatimua wataalamu wa zimamoto kwa kununua Drones kwamba ni vitu vya kipumbavu. Drones zinasaidia kupiga live picha eneo la tukio kama ghorofani kuweza kujua kama kuna watu wamekwama sehemu gani na kuweza kuwasaidia zimamoto kuwapa kipaumbele cha kuweza kuwaokoa kwanza.
Pia ikitokea ghorofa kuporomoka, drones zinaweza kutumika kupiga picha za x-ray kujua wapi kuna watu wamekwama na kuwezesha zoezi la uokoaji. Ni vema kama mkulu akiwateua wataalamu awaache wafanye kazi bila kuwaingilia na kuwakosoa kwa utaalamu wao kwani wao ndiyo wataalamu.
Huwezi kumuajiri daktari alafu umkosoe kwa kufanya kazi yake kisa wewe unaona ni ya kipumbavu wakati wewe hujasomea udakitari. Ukweli ni kwamba zimamoto ni taasisi ambayo ina uhaba mkubwa sana wa vitendea kazi japo ni moja ya taasisi ya muhimu sana kwa usalama wa raia.
Ifike wakati taasisi ya zimamoto iwezeshwe ili iwe na uwezo mkubwa wa kuokoa mali na uhai wa raia wote katika kila kona ya nchi yetu.
Trillion 1 ni pesa ndogo sana kulinganisha na ukubwa wa nchi yetu, jeshi la zimamoto linatakiwa liweze kuwafikia kwa wakati raia wote nchi nzima dakika moja wanapopatwa na tatizo la moto au uokoaji wa aina yoyote ile.
Tuwaache wataalamu tuliowapa majukumu wafanye kazi ya kulijenga Jeshi la Zimamoto bila kuwafedhehesha kisa wamefanya maamuzi mazuri bila kupata sifa za wanasiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakua Ande ngenye unakuja jitetea humu haya na hizo dollars 800 za sitting alawance inakuaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Una chekesha kweli!! Kwa uwezo wetu huu, wa tia mchuzi kwangu pakavu, achana na tambo za kisiasa, kuwa sisi ni rich country, kati ya hizo drones na magari ya zima moto kipi kinatakiwa kiww kipaumbele chetu?? Magari tu tabu, unakuta wilaya nzima lipo moja tu, leo ukimbilie huko?? Kwa Tz zima moto kuwa na drones ni matumizi mabaya ya fedha kwa sasa.
Hawajatimuliwa kwa kununua drones bali kwa kukiuka sheria ya manunuzi.
Kama ulimsikiliza vizuri; Kasema. Hilo limkataba halivunjiki tena. Yaani huyu waziri mpya akafanye mpango wa kuomba siku ziongezwe za kuanza kulipa deni.Mbona Rais amesema wamesaini mkataba? Amewaagiza mawaziri waangalie namna ya kuuvunja?!
Hali ni mbaya sana ila tuliomo ndani ya zimmoto tunasubiri muujiza, huwezi amini baadhi ya maeneo hata ukitaja neno firesuit au horse tu wanaweza kukuuliza ndio toleo la kampuni gani hilo la simu? Kumbe ni moja ya vitendea kazi muhimu.instagram,
Pamoja na Ukomedi wake Kangi kwenye hili kaonewa
Na hata ni aibu kuwa Kamishna General Andengenye na MAJ general Kingu wametakiwa kujiuzulu kwenye hili ; ni uonevu na majungu tu
Kwanza hakuna Memorandum Of Understanding inayohitaji kibali Cha Bunge ; kwenye manunuzi nyeti ya vifaaa vya ki usalama hakuna kampuni inayoweza kukupa tpur kwenye facility zake ikiwemo demonstrations bila mwisho kutaka msaiini MoU.
Hapo haitaongelea uwezekano wa kununua tu bali nao wanajilinda juu ya uwezekano wa kuwatembelea wakawapa taarifa zao na nyie mkazitumia kuwapa washindani wao... kuna mambo mengi.
Kuwa na MoU haikua inawalazimisha kununua bali ni “Nia Njema ya uwezekano wa kununua; intention “
Ni aibu kuwa wanaomzunguka Rais wametuhusu atumie sababu isio na mshiko kufukuza watu kazi
Hii itakua inauwa ubunifu ; moja ya kazi ya majeshi yetu ya Ulinzi na usalama ni kuzunguka duniani kote kutafuta teknelojia mpya na hakuna kampuni au nchi watakayoenda na kuruhusiwa kuonyeshwa technology bila kusainishwa MoU hata kama ni “non disclosures “ bado ziko in the form of bilateral mou ... Sasa kama wanafungwa mikono watakuwa wanasafiri wanarudi hawajaonyeshwa lolote la Maana kwakua wanaogopa kusaini .. na hizo terms huwa zinakuwa shared hata kabla ya Safari
Hadi kuchukua uamuzi wa kununua teknelojia ya Kiulinzi na usalama Timu zilizoenda nchi mbali mbali hufanya presentation kwenye Kamati maalum na ndio huamua kampuni gani ichukuliwe mkataba wa mwisho wa kujadiliana Malipo hapo hujadiliwa na Hazina na lazima Rais ahusike na kama ni pesa nyingi lazima Rais wa nchi yenye kampuni ahusike kama kunahitajiika dhamana ya mikopo.
Pia kuna baadhi ya vifaaa ikiwemo hizo high tech lazima pia kibali Cha kuruhusu technology na mitambo kuuzwa hata kama mnanunua kampuni Binafsi Rais wa nchi inayouza akubalii kwa kusaini na pengine kwa mazungumzo na mwenzake wa nchi inayonunua.
Hiyo hatua waliyowafukuza ni jambo la kawaida mno kwenye sourcing na ni hatua ya awali sana ambayo sio lazima hata Rais kutaarifiwa pengine ingeweza kuchukua hata miaka miwili mbele kabla ya mkataba halisi wa mauziano kufikiwa
Kwenye hili kama ni harufu ya hujuma itakuwa kuna waliomzunguka Rais wana kampuni zao au yao ambayo wangependa itembelewe wakaona haijapewa kioaumbele wakaamua kupotosha
Kwa watu weledi kama MAJ gen Kingu na CGF andengenye wana uzoefu wa kutembelea hizo kampuni kutokana na historia zao na kabla ya kufanya shortlist ya kampuni za kutembelea kutafuta technology fulani lazima tathmini ya awali hufanyika kutokana na mahitaji na wataalamu ndio huamua kampuni ambazo wanadhani zitafaa kwenye Kila category ya vifaaa ( preliminaries)
Pia nadharia nyingine huenda tu hataki kuwanunulia vifaaa hivyo ameamua kudiscourage mchakato ina maana hata CGF atakayekuja hatadhubutu tena kuomba vifaaa... na watabakia zimamoto jina tu.
Simtetei Lugola na simjui, wala sipingi sheria ya manunuzi ambayo ni hewa na haitumiki, nnachopinga ni drones kuitwa vitu vya kipumbavu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zina kazi nyingi kwenye majanga kubeba damu,madawa,maboya ya uokozi,utumika kufukuza wanyama wahalibifu mashambani na kuwarudisha mbugani,mfano tembo akiona drones ukimbia balaa kushinda gari,Mkulu ameshangaa kuwa Drones zinahusika vipi kuzima moto. Drones ni moja ya technology rahisi kuzima moto kwani.
Zimamoto ndiyo taasisi inayohusika na uokoaji wowote wa raia inapotokea moto au tatizo lolote.
Mkulu kawatimua wataalamu wa zimamoto kwa kununua Drones kwamba ni vitu vya kipumbavu. Drones zinasaidia kupiga live picha eneo la tukio kama ghorofani kuweza kujua kama kuna watu wamekwama sehemu gani na kuweza kuwasaidia zimamoto kuwapa kipaumbele cha kuweza kuwaokoa kwanza.
Pia ikitokea ghorofa kuporomoka, drones zinaweza kutumika kupiga picha za x-ray kujua wapi kuna watu wamekwama na kuwezesha zoezi la uokoaji. Ni vema kama mkulu akiwateua wataalamu awaache wafanye kazi bila kuwaingilia na kuwakosoa kwa utaalamu wao kwani wao ndiyo wataalamu.
Huwezi kumuajiri daktari alafu umkosoe kwa kufanya kazi yake kisa wewe unaona ni ya kipumbavu wakati wewe hujasomea udakitari. Ukweli ni kwamba zimamoto ni taasisi ambayo ina uhaba mkubwa sana wa vitendea kazi japo ni moja ya taasisi ya muhimu sana kwa usalama wa raia.
Ifike wakati taasisi ya zimamoto iwezeshwe ili iwe na uwezo mkubwa wa kuokoa mali na uhai wa raia wote katika kila kona ya nchi yetu.
Trillion 1 ni pesa ndogo sana kulinganisha na ukubwa wa nchi yetu, jeshi la zimamoto linatakiwa liweze kuwafikia kwa wakati raia wote nchi nzima dakika moja wanapopatwa na tatizo la moto au uokoaji wa aina yoyote ile.
Tuwaache wataalamu tuliowapa majukumu wafanye kazi ya kulijenga Jeshi la Zimamoto bila kuwafedhehesha kisa wamefanya maamuzi mazuri bila kupata sifa za wanasiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wakiwa trapped kwenye kufusi au jengo lililoungua Ni vp mtajua location yaoUna chekesha kweli!! Kwa uwezo wetu huu, wa tia mchuzi kwangu pakavu, achana na tambo za kisiasa, kuwa sisi ni rich country, kati ya hizo drones na magari ya zima moto kipi kinatakiwa kiww kipaumbele chetu?? Magari tu tabu, unakuta wilaya nzima lipo moja tu, leo ukimbilie huko?? Kwa Tz zima moto kuwa na drones ni matumizi mabaya ya fedha kwa sasa.