Nadhan akifufuka atajiona fala sana mana wenzake wanapambana kwa teknolojia rahisi, hvy akae huko hukosiku hizi hakuna vita, vita zilikuwa ni ww1 na 2 basi. mjerumani alitengeneza u-bot na vifaru vya hatari zile ndizo vita sasa acha hizi za sasa mnzoita vita eti ndege hazina rubani,mjapan aliunda jeshi la kujitoa muhanga la ma pilot walikuwa wanarusha ndege then wanaidondosha kwenye meli vita ya maadui
hizi za sasa ni utopolo sio vita, akifufuka Hitler aambiwe hizi drone ni vifaa hatari vya kivita hatowaelewa kabisa wakati yeye alitengeneza mabomo mazito mpaka yanashindwa kuruka yanatua chini yanauwa waliotengeneza
Zilikuwa vurugu mkuu,
Nadhan akifufuka atajiona fala sana mana wenzake wanapambana kwa teknolojia rahisi, hvy akae huko huko
Hatupend show off jiwe unamjua unamsikiaZipo mkuu sema hatupendi 'show off'.
Haitakaa itokeeNot many years to come, Turkey is going to be one of the Super Powers
Hakuna wa kumtesa Mrusi ndugu iyo ni ndoto ya mchana kweupe.majeshi ya Assad yaliendelea kuteka maeneo zaidi kwenye jimbo la Idlib hata baada ya Uturuki kupeleka jeshi kuwasaidia Waasi.Uturuki alimtesa hata Russia kule Syria na hizo drones.
Hivi hapa A/Mashariki kuna nchi zinajua kucheza na hayo madude.?
Hii ndo fimbo ya kuangusha izo Drone zenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].MTOA POST UNAIJUA HII HAPA CHINI
Russia air defence system
Pantsir missile system
View attachment 1624596
Zinatumia GPS na duniani ni United States (GPS), Russia (GLONASS) na China (Beidou) ... EU nao sijui kama wameshamaliza GALILEO.Vita vya kisasa vinahusisha zaidi ya technologia ya Hali ya juu, yenye lengo la kupunguza gharama na kuongeza ufanisi.
Kwenye uwanja wa Vita drones zimekua zikifanya Mambo ambayo pengine kwa Vita ya zamani kwa Sasa kutokuwa nafasi.
Vita ya zamani watu walikua wanajificha kwenye mifereji na kwenye nyasi, au comouflage blankets but kwa Sasa kufanya hivyo Ni utopolo kutokana na ukweli kwamba drones na ndege Vita zinathermal sensors ambazo zinaweza detect joto mwili hivyo kuweza kumuona mtu popote alipo.
Kwa Sasa mbabe wa drones Ni Uturuki anayetumia drones zinazoitwa Byraktar Tb2.
Libya gani iyo mkuu ambayo Urusi alinyanyua mikono juu?Urusi alinyanua mikono ata Libya pia..alipata kichapo heavy..wakaamua tu yaishe
Uturuki ni kati ya watengenezaji wakibwa wa drone duniani.Umesema mturuki kwa sasa ndio mbabe wa drone anazitengeneza mwenyewe ama anaimport kutoka US na kwingineko
Humjui jiwe vzr jamaa ni show off mmoja matata yaan hakuna mfano ndege ikija na sherehe juu
Hao wa kutengeneze wako wap sasa.? Labla n kweli tunaweza kutengeneze lkn je n kwa ubora upi.?upo sahihi sana kwa ulivomjibu jamaa,ila pia kuna umuhimu nchi kuwekeza katika teknolojia ili tutengeneze vya kwetu,unajua vifaru tunavyonunua kwa wazungu tunapigwa bei kubwa sana kulinganisha na kama tungetengeneza sisi ?
Hao wa kutengeneze wako wap sasa.? Labla n kweli tunaweza kutengeneze lkn je n kwa ubora upi.?
Bahati mbaya ama mimi na wewe hatutakuwepo au hatutaweza kuja kuwasiliana ili tukumbushane hiliHaitakaa itokee
Russia walikua wanaibackup serikali inayoungwa mkono na umoja wa mataifa..Turkey na wenzake walikua anawabackup waasi..so full mchapano...Libya gani iyo mkuu ambayo Urusi alinyanyua mikono juu?
Africa nzima at once? Wacha wee!🤣🤣🤣misile ni habari nyingine mkuu hako ka drone ni cha mtoto tu kwa Missile maana missile zinauwezo wa kulipua mfano Africa nzima at once,zile Missile ambazo trump anatembea na briefcase yenye codes sio za kulinganisha na drones ndio maana korea unamuona kim anahangaika na missile sio drone kwanza vi drones havina speed havifai kwa vita hivyo,missile inasafiri haraka sana
Veta wanacopy technologia youtubemkuu, Veta huko kuna vichwa sana ni basi tu havipati support ukijaribu kutembelea youtube utaona vipaji tulivyonavyo, watatengeneza kwa ubora mkubwa endapo serikali itaomba baadhi ya wataalamu wa nje kwa mfano upandikizaji wa figo serikali ilifuata wataalamu nje wawafundishe hawa wetu wa ndani na sasa wa ndani wanapandikiza wenyewe
tukiamua tunaweza