Hiko kijamaa ndio kiliua Kassim Suleiman wa Iran.Huitaji kuwa na vifaru vingi ukishakuwa na hicho kijamaa
Sisi bado tunafanya mazoezi kwa kutambaa chini ya senyenge.
Yaani wenzetu kila kitu wanskirahisisha kupitia technology.
Hivi vidude vitakuja kufanya vita ziwe ngumu sana. Maana kwanza havionwi na rada za kawaida za ndege kwahiyo kuvifanya viweze kupenya ndani kabisa ya ngome za maadui na kuleta madhara makubwa. Na kadri teknolojia inavyoboreka ina maana vitazidi kuwa vidogo na bora zaidi kiasi kwamba itakua impossible kuvi detect na kujilinda dhidi yake. Huku tunakoenda itafika mahali nchi inakua na jeshi la drones tu ambalo linatumwa kwenda kushambulia na kurudi...halafu wanao-operate hizo drones unaweza kukuta ni watoto mayai, ila wana uwezo wa kukaa mbele ya monitor 12 to 16 hours with maximum concentration. kwa maneno mengine uwepo wa drones umebadilisha kwa namna ya kipekee maana ya kuwa askari.🤣
Huenda hata Tz zipo...tena inabidi tuzitumie huko Msumbiji.Uturuki alimtesa hata Russia kule Syria na hizo drones.
Hivi hapa A/Mashariki kuna nchi zinajua kucheza na hayo madude.?
Mambo ya kuwa na misile launcher na vifaru vingi imepitwa na wakati...hicho kijamaa kimamaliza almost hifadhi yote ya silaa na kumaliza almost wajeda wote wa Armenia.Hivi vidude vitakuja kufanya vita ziwe ngumu sana. Maana kwanza havionwi na rada za kawaida za ndege kwahiyo kuvifanya viweze kupenya ndani kabisa ya ngome za maadui na kuleta madhara makubwa. Na kadri teknolojia inavyoboreka ina maana vitazidi kuwa vidogo na bora zaidi kiasi kwamba itakua impossible kuvi detect na kujilinda dhidi yake. Huku tunakoenda itafika mahali nchi inakua na jeshi la drones tu ambalo linatumwa kwenda kushambulia na kurudi.
Zipo mkuu sema hatupendi 'show off'.Zidhani...
Sisi tunayo ipi?Vita vya kisasa vinahusisha zaidi ya technologia ya Hali ya juu, yenye lengo la kupunguza gharama na kuongeza ufanisi.
Kwenye uwanja wa Vita drones zimekua zikifanya Mambo ambayo pengine kwa Vita ya zamani kwa Sasa kutokuwa nafasi.
Vita ya zamani watu walikua wanajificha kwenye mifereji na kwenye nyasi, au comouflage blankets but kwa Sasa kufanya hivyo Ni utopolo kutokana na ukweli kwamba drones na ndege Vita zinathermal sensors ambazo zinaweza detect joto mwili hivyo kuweza kumuona mtu popote alipo.
Kwa Sasa mbabe wa drones Ni Uturuki anayetumia drones zinazoitwa Byraktar Tb2.
View attachment 1624279
Sekeseke la drones hizi wameshazipata Syria na Sasa Armenia.