Driving course veta mbeya

Driving course veta mbeya

mirajinho

New Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Habari,
Nataka nijiunge na BASIC DRIVING COURSE veta mbeya, kwa anayefahamu gharama zao, au namba ya mwalimu wa udereva wa pale, na pia sample joining form anisaidie please.
Nawasilisha.
 
Habari,
Nataka nijiunge na BASIC DRIVING COURSE veta mbeya, kwa anayefahamu gharama zao, au namba ya mwalimu wa udereva wa pale, na pia sample joining form anisaidie please.
Nawasilisha.
Laki mbili tu
 
Iyo 200,000 ni day au hostel mkuu ?
Kwani huko nje ya mbeya?
Kwanini utake hostel coz ya wk 4 tuu?
Afu ni vzr ungeenda pale veta ukapate data kamili
Kuna bajaji pale kabwe zinaenda veta nauli jero,fikachuoni upate data kama uko maeneo ya mbeya

Hiyo laki 2 ni ada tuu ya coz
 
Back
Top Bottom