mfereji maringo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 1,043
- 263
Wazee nimeformat kalaptop kangu na kupandisha xp, sasa baadhi ya drivers hazijarudi, ninatumia modem, je nawezaje solve tatizo hilo kwa msaada wa net?