Mkuu labda huyo dereva awe ndugu yako tofauti na hapo huwez fanya hyo kazi ya uber unavyotaka utasumbuana na watu tuu.
Nikushauri jambo
Funga gps tracker kwenye gari yako ni 200,000 tuu na haina malipo kila mwaka ukifunga hyo ni moja kwa moja.
Tafuta mtu mpe mkataba wa kutokana na hali ya gari either mwaka au mwaka na miezi kadhaa. Kubaliana nae kias kwa week na malipo yawe kila week.
Ukishindwa mkataba andikishana nae kawaida akuletee hesab kila week lakini gari ilale na dereva hii ni kwa sabab kazi si kila siku ni nzur kuna kuchoka kukaa kwenye gari siku nzima si kitoto kama ufikiriavyo. Dereva atajipa muda wa kupumzika na muda wa kufanya kazi kikubwa akamilishe hesabu yako.
We kaa nyumbani angalia kwenye sim yako una track route za gari. Ukiona anakusumbua unaweza izima gar yako kwa simu yako na ukaifuata ilipo ukaichukua kirahisi.
Tatzo wenye magari ambao mnataka yarud nyumbani huwa wasumbufu na nyie sababu unaweza kuta hyo gari ndo unaitegemea kwa mizunguko yako. Nimewaza tuu
Jaribu kufanyia kaz hilo
Sent using
Jamii Forums mobile app