unatakiwa kupata leseni ya daraja E utaendeshea magari makubwa kisha baada ya hapo utapata daraja C1 kama ukisomea gari za abiria. Kama ukisomea VIP utapata daraja C1, C2, C3.
Baada ya kupata daraja C.
Wewe kama unakaa banana halafu mimi nakaa Carot nitajuaje kama banana kuna chuo...?