kidole33
Senior Member
- Nov 11, 2013
- 120
- 77
Uliomba?Bd hawajaita mpk leo aisee!
Uliomba?Bd hawajaita mpk leo aisee!
?Sawa
Kama kuna aliyeomba ingia kwenye "ajira portal" yao fungua review status wameweka majibu kama umefuzu vigezo au la....mimi nimeshindwaAhsante kwa taatifa...
Unafikiria ni kwanini mkuu?Kama kuna aliyeomba ingia kwenye "ajira portal" yao fungua review status wameweka majibu kama umefuzu vigezo au la....mimi nimeshindwa
Walisema huenda notifications zikachelewa maana wanaangalia na hali ya corona!Unafikiria ni kwanini mkuu?
Aisee. Kwa huyu dogo hakuna notification yoyote.
Wewe umeshajibiwa Mkuu?Walisema huenda notifications zikachelewa maana wanaangalia na hali ya corona!
Walisemaje ukiwa shortlisted unatumiwa email kama sio unajibiwa kupitia statusUnafikiria ni kwanini mkuu?
Aisee. Kwa huyu dogo hakuna notification yoyote.
Walisemea wapi mkuu hii sijaiona pWalisemaje ukiwa shortlisted unatumiwa email kama sio unajibiwa kupitia status
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Status niliyopewa mimi ni hiiWalisemea wapi mkuu hii sijaiona p
Nashukuru sana Mkuu. Nilikuwa naangalia kitu tofauti.Status niliyopewa mimi ni hiiView attachment 1717946
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ulifanikiwa mkuu? Kuitwa?Bd hawajaita mpk leo aisee!
Wakuu mambo vipi?
Nasikia hawa jamaa wameita watu wachache sana kwenye interview ndio maana wengi hawajaitwa.
Sababu ni nini aisee na nafasi ni 3?
Bado mkuuWewe umeshajibiwa Mkuu?
Sawa Mkuu.Wazungu hawanaga tabia ya kuita watu rundo ..
Wanaita wachache wanaoona wana vigezo wanavyotaka kama uzoefu wa udereva na ufundi gari kwa ushahidi uliooonyoooka
Ulikuwa shortlisted?Bado mkuu
TRA ipi ya CHADEMA ?Kuna watu wanapiga kazi TRA ila hawana hata huo mshahara. Maisha haya formula.