Drive thro' tree

Drive thro' tree

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
579154_495336833819918_1540411283_n.jpg
 
...bongo wanga woote wangeweka kambi hapo,sijui wanapenda nini kwenye miti...
 
Arusha ipo hii kuelekea Momela National Park...!
 
hizi habari we wazijuaje kuwa hukaa kwenye miti? I laughed though.
...aahhh mkuuu usiniambie hauishi uswazi..!! anyway,njia ya kwanza ni wachawi na wataalam wa elim dunia wakaokoka wametupa hizo habari na nyingine ukisikia itakimbia, pili tangu enzi hizo wazee wanatupa hizo habari,tatu hata ukipita kwenye miti mikubwa unakuta hirizi zimening'inia,matambiko yote hayo ni uchawi tu,need i say more mkuu...?
 
hahahahaaaaaaa,u don't.

Inaelekea gari kubwa zaidi ya Combi marufuku kabisaaaa!
 
Back
Top Bottom