Drip Irrigation Kit ni ina range kuanzia TShs 2.0-2.4 Mil kwa ekari kutegemea shamba lilivyo na urefu kutoka kwenye Tank lako.
Solar Water Pump ni kuanzia 3.7Mil na kuendelea hii ni kutokana na nyaya connection kulingana na umbali wa kisima,sehemu ya kuweka Solar na Tank la maji lilipo.
Capacity ni 12600liter/day katika urefu wa kisima cha mita 15.
Kisima hatuchimbi kwa sasa ila tunatoa ushauri wa njia za uchimbaji kisima ambazo niza kawaida.