Drip irrigation system ya heka 15 inauzwa

Drip irrigation system ya heka 15 inauzwa

cumins

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Posts
975
Reaction score
442
Mipira yake ni round sio flat. Na inadumu si chini ya miaka 8 minimum.
Ni mjumuisho wa system mbili.
1. Mazao ya mboga mboga ambayo unatumia drip lines.
2. Mazao ya matunda,
Zao la matunda mfano passion fruit, zao hili itabidi utumie drippers.
Vitu vyote vimelipiwa ushuru na documents zote zipo, vinauzwa vyote kwa pamoja.
Ni mjumuisho wa hadi creti za kuwekea mavuno au mazao.
Nauza sababu ya kuwa nimebahatika kutoka ktk ajira ya mkataba to permanent employe.
Sitoweza kurudi nyumbani kuanza shughuli za kilimo.
Anayehitaji ni pm
Kila kitu naweka wazi
20180106_134146.jpg
20180106_134141.jpg
IMG-20171229-WA0040.jpg
drippers-893.jpg
IMG-20171228-WA0021.jpg
20180106_141438.jpg
20180106_141330.jpg
20180106_141224.jpg

Mbuzi hayupo ktk biashara
 
NACHOJUA NIKUWA HIZO ZA INDIA NI FECKI KWANI ZILIISHA WHI KULTEWTA HTA TAP PROJECT CHINI YA FINTRAC NIKAISHIA KUONA VIROJA ILA \ZINGEKUWA ZA ISRAELI NINGEKUBLI

Wapo watu wa kukusaidia kufunga,
Lkn itabidi uwalipe kwa kutwa alfu 15 kwa kichwa
 
NACHOJUA NIKUWA HIZO ZA INDIA NI FECKI KWANI ZILIISHA WHI KULTEWTA HTA TAP PROJECT CHINI YA FINTRAC NIKAISHIA KUONA VIROJA ILA \ZINGEKUWA ZA ISRAELI NINGEKUBLI
Hapana wewe muongo.
Sijawahi ona Tanzania kama kuna mtu aliyewahi tumia round drip line.
Zote zinazotumiwa hapa Tanzania ni flat tape.
Na hakuna sehemu yeyote Tanzania au project yeyote iliyewahi tumia dripers.
Toa details za uhakika

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Zipo kampuni nyingi ambazo zinatumia round drip line
 
Highlanders flowers Ltd, nimezitumia sio Kwamba nimesimuliwa
 
Back
Top Bottom