Kwa wale tunaopenda kilimo cha kisasa hizi bidhaa zinawafaa sana ni drip pipes, connectors pamoja na tanks za kuwekea mbolea.....
Drip pipes kwa mita 1 ni Tsh 650/=
Connector 1pc ni Tsh 500/=
Tanks za kuwekea mbolea 1pc ni Tsh 145,000/=
Usafiri ni free popote kwa Tanzania kama utachukua kuanzia mita 1000.
Kama utahitaji na ufundi tutaelewana pia