Drip Irrigation Pipes zinauzwa

Shakir

JF-Expert Member
Jul 31, 2012
1,621
1,906
Habari Wakuu,

Ninauza Rollers za Drip Irrigation,
Ziko jumla 4 @ Tshs 250,000/= each,
Urefu wa kila Roller ni 1,500metres,
Emitter spacing ni 30cm & 50cm interval.

Kwa kila Roller 1 utapata
-Connectors za Drip to Normal Pipe (PVC Offtake) - 100 Pcs

- End lock za Drip zinazofungwa mwishoni mwa Drip (Tape Plug) - 100pcs

Ninapatikana Dar es Salaam
NB;
Mimi sio Dealers wa hizi vitu, bali niliagiza za Kwangu mwenyewe kwa ajili ya shambani kwangu na hizi ndio zimebaki. Sasa kwakua nahitaji kufanya vitu vingine basi wacha hizi niziuze.

Mobile 0684 477 150
 
Najua inategemea na aina ya zao utakalolima mkuu, lakini kwa uzoefu wako, hizo zinaweza kutosha eneo la heka ngapi?
 
Hizi mimi nimetumia Roller 1 na nusu kwa heka 1.
Kwengine nimetumia Rollers 2,
Na kwengine nimetumia Roller 1,
Inategemea pia na Layout ya shamba lako limekaaje.
 
Habari Wakuu,

Ninauza Rollers za Drip Irrigation,
Ziko jumla 4 @ Tshs 250,000/= each,
Urefu wa kila Roller ni 1,500metres,
Emitter spacing ni 30cm & 50cm interval.

Kwa kila Roller 1 utapata
-Connectors za Drip to Normal Pipe (PVC Offtake) - 100 Pcs

- End lock za Drip zinazofungwa mwishoni mwa Drip (Tape Plug) - 100pcs

Ninapatikana Dar es Salaam
NB;
Mimi sio Dealers wa hizi vitu, bali niliagiza za Kwangu mwenyewe kwa ajili ya shambani kwangu na hizi ndio zimebaki. Sasa kwakua nahitaji kufanya vitu vingine basi wacha hizi niziuze.

Mobile 0684 477 150
Ni hela tu ila nazitamani sana
 
Mkuu zitafaa kwenye kilimo cha papai??
Papai Drip Irrigation.jpg

Zinawezekana kaka
 
Wakulima wenzangu,
Nina Drip Irrigation Pipes (Au tapes) naziuza, zimebaki mbili baada ya mdau mmoja humu kuniungisha,
Urefu 1,500 mita na Interval ya matundu ni 30cm kwa 50cm

Ninapatikana Kijitonyama, Dar es Salaam
Bei 250,000 per roller

NB;
Mimi sio Dealers wa hizi vitu, bali niliagiza kwa ajili ya shambani kwangu na hizi ndio zimebaki.
Mobile 0684 477 150
 
Habari wakuu..kuna project naanda ya drip irrigation so naomba msaada wa estimation ya cost kwa eka au kama kuna mdau ana project plan ya hii mambo naomba anisaidie
 
Wakulima wenzangu,
Nina Drip Irrigation Pipes (Au tapes) naziuza, zimebaki mbili baada ya mdau mmoja humu kuniungisha,
Urefu 1,500 mita na Interval ya matundu ni 30cm kwa 50cm

Ninapatikana Kijitonyama, Dar es Salaam
Bei 250,000 per roller

NB;
Mimi sio Dealers wa hizi vitu, bali niliagiza kwa ajili ya shambani kwangu na hizi ndio zimebaki.
Mobile 0684 477 150
hapo kwenye interval ya matundu sijakuelewa, unaaina mbili ya interval ya 30cm na nyingine ya 50cm? au ulimaanisha tofauti na hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom