Unaongea hivyo sababu haujui vita ya kule, hujui chanzo, huwajui wanaopigana na hujui namna wanavyo shambuliana.Vita haina macho.Kwa hiyo kama hawakuwahi kudungua ndege tutulie na kuamini kamwe hawatoweza?Askari anawaza hivyo?
ile tender ya kubeba nyama ya mbuzi kutoka vingunguti sijui iliishia wapi ?Dreamliner Ni Assets Yaani Kwa Tender Hiyo Ni Faida Tupu
Tanzania Ni Pazuri Sana Nchi Ya Asali Na Maziwa
Ha ha haWhere is uniformity? Nchi yetu imechoka kiasi cha kushindwa kuwapa wote ma-backpack ya kijeshi ya aina moja? Naona wengine wanaingia na asante mmachinga kwenye ndege!
ID yangu fake ndiyo inayokudanganya?Poapoa mkuu.😂😂😂😂😂Unaongea hivyo sababu haujui vita ya kule, hujui chanzo, huwajui wanaopigana na hujui namna wanavyo shambuliana.
Namaanisha hujui tabia zao na mode of operrand yao hao Janjaweed.
Huko jeshini kuna watu wa ku-plan man o yote ikiwemo na risk zote za usafiri huo n.k.
Hahaha idadi ilikua kubwa na op ni nyingi acha woga.. ma dollar matamu hapo Congo joto lilikua kubwa sana ..Sikh 366 ni chache sana Ila ukiwa pale ukamaliza siku moyoni unajua mwenyew hahahAchana na hayo.Id hii ni fake.Iache iwe fake tu.Uchokozi haufai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usinikumbushe mkuu.Nashukuru zilijenga nyumba za wazee.Darfur!What the hec was all that for,anyways!For the sake of our neighbours,brothers and sisters,outta there!Burying our damn bodies into sand dunes of that hotter land like fxck3n ostriches😂😂😂😂😂🔫👏👏👏👏👏Hahaha idadi ilikua kubwa na op ni nyingi acha woga.. ma dollar matamu hapo Congo joto lilikua kubwa sana ..Sikh 366 ni chache sana Ila ukiwa pale ukamaliza siku moyoni unajua mwenyew hahah
Ni wewee myebusiChadema pingeni basi.
Duh wacha jua likupige kidogo.Ni wewee myebusi
Hii taarifa imekaa kiumbea zaidi yaan nikama watu wanataka kujifariji, trip moja ndio yakuja hapa kujipongeza.Ndege yetu ikatokea inatunguliwa,lawama kwa nani?! Kwa nini wasipelekwe na ndege za UN ambazo zinatambulika na kisheria haziruhusiwi kushambuliwa?!
Tumekosa safari za kimataifa zenye tija hadi tuvizie mara kupeleka mbuzi Dubai na sasa wanajeshi Sudan?! Je safari hizo ni endelevu kwa wiki ama mwezi mara ngapi?!
Hongera, kafanya nini? alinunua ndege kwa pesa zake mfukoni? Mkataba wa manunuzi ya ndege Kama sheria zinavyosema unaujua?Safi sana. Hongera JPM.
May 16, 2019
Dar -es-Salaam, Tanzania
Ndege ya ATCL aina ya Boeing 787 Dreamliner yaenda Sudan kupeleka wanajeshi ktk jimbo la Darfur kulinda amani. Boeing 787 Dreamliner ya ATCL ni ndege mahsusi ya abiria yenye uwezo wa kwenda masafa marefu lakini hii ni mara ya kwanza kushiriki ktk operesheni za kijeshi kwa ajili ya ulinzi wa amani.
Akizungumzia ushiriki wa Tanzania ktk kulinda amani chini ya Umoja wa Mataifa, mkuu wa operesheni na mafunzo ktk JWTZ, Major General Alfred Fabian Kapinga amesema huu ni mwaka wa 12 mfululizo toka Tanzania ihusike ktk kampeni za ulinzi wa amani chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa.
Tanzania ina vikosi chini ya Umoja wa Mataifa kulinda amani ktk nchi za Lebanon, Central African Republic, Sudan na DR Congo. Na katika kupeleka vikosi imekuwa ikitumia ndege za JWTZ na zingine zilizokodishwa na Umoja wa Mataifa. Hii ni mara ya kwanza ATCL kutumika na kutakuwepo mwendelezo wa ATCL kutumika ktk misheni za ulinzi wa amani chini ya Umoja wa Mataifa.
Naye Mkurugenzi Mkuu wa ATCL amesema wamefarijika shirika kupata tenda ya Umoja wa Mataifa kusafirisha walinzi wa amani. Amelishukuru jeshi JWTZ na wadau wengine waliofanikisha kupata kazi hii inayoshindaniwa na mashirika mengi ya ndege duniani ktk kufanya kazi za Umoja wa Mataifa.