Hapa ndo dream league waliboronga
Hapa ndo dream league waliboronga
Habar wanajamvi!!
Naomba link yoyote nitakayoweza kupata hilo game likiwa cracked ili nipata coins unlimited nakurifurahia.. nimejalibu kutumia lucky patcher lakin hawapi.. ukifungua wanataka addition ya obb ya game na mm siwez kutenga manual. . apk na obb ili game litimie nicheze.. mwenye uwezo huo tafadhali nisaidie.. asante
hapo kwenye red ndio nini hicho?
obb ni folder ambalo data za game zinakaa kwenye android
kaka ipo hio kwenye mpira, seems huufuatilii sana mpira. beki akimrudishia kipa mpira, kipa haruhusiwi kuudaka anatakiwa aupige na mguu. ikitokea kipa akiudaka then inakuwa fould ndani ya box ambayo mabeki wanatanda kama hio na sio penalty.
![]()
japo ni mara chache sana hutokea ila ipo hio.
kwahiyo unaweza ku-edit data za game mkuu? Chief-Mkwawa
mara chache sana unaweza kuedit ila mara nyingi huwezi, mtu anapocheat au ku mod game ni user data kama save file linalobadilishwa. na ndio maana unaona kucheat mara nyingi inataka simu yako iwe rooted. ukiroot simu unapata acess ya save file la game ambalo mara nyingi linakaa root/data/data/jina la game
Mkuu ulishapataHabar wanajamvi!!