Dream league soccer

Dream league soccer

monroe100

Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
38
Reaction score
7
Habar wanajamvi!!
Naomba link yoyote nitakayoweza kupata hilo game likiwa cracked ili nipata coins unlimited nakurifurahia.. nimejalibu kutumia lucky patcher lakin hawapi.. ukifungua wanataka addition ya obb ya game na mm siwez kutenga manual. . apk na obb ili game litimie nicheze.. mwenye uwezo huo tafadhali nisaidie.. asante
 
obb unaipata kwenye sdcard/android/obb

ukifungua file manager utaona folder limeandikwa android ingia humo utaona kuna mafolder mawili data na obb ingia obb utaona data za dream league.

pia unaweza tumia gameguardian kucheat maana hiki kigame ni kirahisi sana kucheat, huku kwenye windows phone tunatumia tu txt editor.

kwenye gameguardian search coin zako then utapata result nyingi nunua kitu then coin zitapungua tafuta result iliopungua zitajichuja na kubaki chahce endelea hivyo hivyo hadi unapata adress ya coin then change unayotaka

vLPRFRH.jpg

hiko kikosi changu even messi hana namba.

kama still ni mvivu hivo hapo juu vimekushinda link hizi hapa apk na data

https://userscloud.com/1oxhkc4uvull
https://userscloud.com/jwqp3b9rtrq1
 
Mkuu mbona game jepesi tu bila kuchakachua nimeanza week tu now nipo ligi kuu
 
Asante mkuu CHIEF MKWAWA
Sasa hizo link ninatengeneza game manual maana yang ni hvi aliwi direct kama navyo download kwa play store...
Hivyo naomba unisaidie hiyo apk nikisha download naiweka wap pia iyo obb naweka wapi ili game litimie niweze kulicheza.. asante
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mbona game jepesi tu bila kuchakachua nimeanza week tu now nipo ligi kuu

Ndyp jepesi ila kwangu gumu naitaji kununua wachezaji.. naitaji kununua uwanja.. naitaji kununua wachezaji wenye kiwango.. ni vitu vingi sana nataka nifanye... money ndo kila kitu mkuu Will ze great
 
Last edited by a moderator:
Chief-Mkwawa mkuu unaita kigame! Haya bwana

Nadhani kama umemuelewa chief alikua anaongelea ki game kwenye perspective ya kuweza ku bypass mitego ya kutolipia.. Kwamba aliyekitengeneza hakuweka mitego migumu...... Ila kwa level zetu huyu jamaa anajua sana aiseee akikupiga dongo usisikitike kajipange ujue zaidi lichukulie kama changamoto.... . kukataa changamoto ndiko kulikotufikisha hapa kama watanzania ukiambiwa hujui unafura badala ya kumuuliza aliyekuambia hujui kwamba sijui nini..... Kuna watu juzi wametaka kutoboa screen baada ya kuambiwa bado bwana wadogo kwenye mambo ya grafix wanakuja juuu kama hujui kukubali hujui ni hatua ya mwanzo kuelekea kujua.........

NB: hii haina uhusiano na post niliyocopy ni kwa wote ambao tunasoma tusichukie tukipigwa madongo ndio kujifunza..... Wala hata tusinung'unike chukua kama changamoto na fanyia kazi ukijua hiyo kesho utapigwa lingine utaongeza kingine
 
Asante mkuu kwa ushauri wako ni bola ujifanye mjinga lakini unapata kitu flani maishani mwako
 
Nisaidie jinsi ya ku crack hili game kwa kutumia game guardian
 
unaingia kwenye game unaangalia hela zako ni shilingi ngapi mfano una una shilingi 5000 then bonyeza kialama cha game guardian search 5000 utaona zinakuja 5000 nyingi tu. rudi kwenye game then tumia kiasi kidogo cha hela mfano 50 inamaana utabakiwa na 4950 kasearch tena rudia hio process hadi utaona unabakiwa na adress chahce zenye value sawa na hela yako. badili ile value iwe hela ndefu kama 999,999 then hela zako kwenye games nazo zitaongezeka.

una root browser? hebu jaribu kwenda root folder then nenda data/data/ halafu tafuta dream league then kwenye save files zake amgalia kuna nini na nini

update
ni ngumu kuelewa gameguardian kwa maneno nenda youtube ukaone video utaelewa zaidi[/b]
 
Ndyp jepesi ila kwangu gumu naitaji kununua wachezaji.. naitaji kununua uwanja.. naitaji kununua wachezaji wenye kiwango.. ni vitu vingi sana nataka nifanye... money ndo kila kitu mkuu Will ze great

we batua magoli tu macoins yatakuja tu...Game ni gumu mwanzo kidogo but ukichezacheza utalizoea
 
Last edited by a moderator:
Mm naona baadhi ya game ukizichakachua mzuka wa kulicheza unapungua.

hili bila kuchakachua linaboa maana usipo upgrade uwannja haupandi daraja (sijui wameitolea wapi hii sheria), hivyo unakuta mapato ya msimu yanapotelea kwenye ujenzi wa kiwanja unashindwa kusajili watu wa maana.

ukishinda ligi kuu wanaanza kukuletea timu classic hivyo hata kama umecheat still game linakuwa competitive
 
Sure.
Mm mwenyewe nilikomaa sana nikanunua viwanja vyote, na nilikuwa na wachezaji classic one day simu ilileta mapicha picha nika ifanyia hardreset so ndio nimeanza upyaaaa nipo kiwanja kinacho toa 4 coins.
Naamini nitafika tu maana goli ninazo watandika jamaa ni 8 kuendelea.
Nikimiss sana kufungwa magoli na cheza pes 2013. Natandikwa magoli natulia.
 
naomba link ya pes 2013
 
Chief mkwawa huyu jamaa aliyetengenezea hili game la DSL ametoa game nyingine inaitwa first touch soccer 2015 lipo playstore ni zuri sana ila game modes nyingi hazifunguki mpaka uwe na coin nyingi mfano ili uweze kucheza ligi yoyote unayopenda mpk uwe na coins zaidi ya 4000 kitu ambacho ni impossible kabisa kwani sehemu pekee ya kupata hizo coins ni kwenye manager mode ambapo ukishinda unapewa coins 7 sasa huwezi zikusanya mpk zifikie 4000 kwani matumizi ni mengi kuanzia kumlipa kocha,kujenga uwanja..ka kuna uwezekano ungenifundisha jinsi ya kuhack hili game ili nipate coins nyingi
 
Attachments

  • 1434110308506.jpg
    1434110308506.jpg
    53.1 KB · Views: 173
Chief mkwawa huyu jamaa aliyetengenezea hili game la DSL ametoa game nyingine inaitwa first touch soccer 2015 lipo playstore ni zuri sana ila game modes nyingi hazifunguki mpaka uwe na coin nyingi mfano ili uweze kucheza ligi yoyote unayopenda mpk uwe na coins zaidi ya 4000 kitu ambacho ni impossible kabisa kwani sehemu pekee ya kupata hizo coins ni kwenye manager mode ambapo ukishinda unapewa coins 7 sasa huwezi zikusanya mpk zifikie 4000 kwani matumizi ni mengi kuanzia kumlipa kocha,kujenga uwanja..ka kuna uwezekano ungenifundisha jinsi ya kuhack hili game ili nipate coins nyingi

unajua kueka data kwenye obb folder?

link hii hapa
Zippyshare.com - FTS2015-2.08-MOD-APK+DATA.rar
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom