Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Ndio Bora watuelekeze buana maana Mimi nacheza nashindwa kabisa mchezaji WA ghali unakuta mmoja ni coin 920 Kila mmoja wale wachezaji wakubwa halafu unakuta mtu ana team ametengeneza wachazaji wote ni kuwango Cha juu mmewezaje? Nalipenda sana hili game
Ningependa nanyi muwe na vikosi bora ili walau nipate upinzani humu maana kuna huyu jamaa adriz ni ngoma haswaa, ana kikosi kizuri lakini hana kitu
 
Kwanza unatakiwa u upgrade kiwanja chako hadi uweze ingiza 85000 fans

Hapo klabu itakuwa na uwezo wa kupanda hadi legendary division ambapo mech za huko utaweza ingiza coins nying per home games,

Kila utakapocheza career games zaidi ndipo utakapojikusanyia coins nying zaidi
Oooh Ahsante sana Mkuu ngoja nijitahidi Sasa maana ndio kwanza nipo 55,000
 
Haijawahi kutokea bonge mechi ,Halaand ilibidi amalize mapema akagonga nguzo dkk za majeruhi kisha ukachomoa dkk za Mareruhi tena Neymar akashinda kiulaini baada ya purukushani huku ulianza dhihaka za emoji wakati haujavuka mtoa.

Natuma salamu kwa Singasinga nitamuaibisha bora aendelee kukimbia kama jana.
Una lipi la kuwaambia wanadream,
Mech saba umepigika game 6

Tazama baadhi ya takwimu ili ujue hukubahatishwa,

U were dominated by all the ways
Screenshot_20230427-232608_1.jpg
 
Haijawahi kutokea bonge mechi ,Halaand ilibidi amalize mapema akagonga nguzo dkk za majeruhi kisha ukachomoa dkk za Mareruhi tena Neymar akashinda kiulaini baada ya purukushani huku ulianza dhihaka za emoji wakati haujavuka mtoa.

Natuma salamu kwa Singasinga nitamuaibisha bora aendelee kukimbia kama jana.
Sasa naenda kumsaka Singasinga popote alipo, natak ndani ya jf ifahamike mim ndie king wa dream league soccer
 
Ndio Bora watuelekeze buana maana Mimi nacheza nashindwa kabisa mchezaji WA ghali unakuta mmoja ni coin 920 Kila mmoja wale wachezaji wakubwa halafu unakuta mtu ana team ametengeneza wachazaji wote ni kuwango Cha juu mmewezaje? Nalipenda sana hili game
Pitia uzi wote utakuta kwenye baadhi ya pages Master nimetoa full muongozo na mbinu za kupata coins haraka na management yake, vilevile wengine pia wametelekeza humu.

Superfly
 
Ninakuapia baada ya kipondo cha jana utapumzika kucheza dream ndani ya mwez 1

Maana maumivu yake hata mimi nimeya feel Kaka
Hakuna cha kunitisha Master kama Master Jpili kaa mkao wa kufungwa na ukinifunga siku hiyo rasmi nitakuita Master.
 
Back
Top Bottom