Kumbuka vizuri mzee baba usilete uhuni hapa, nakuhesabiaFact gani mimi gemu sita sijashinda mbili huo ni uongo wa dhahiri kwanza kumbukumbu zangu za haraka zinakataa hiyo rekodi nikianza kuhesabumechi zetu za hivi karibuni.
1.kwenye mechi mbili za ligi nimeshinda moja
2.Kwenye Challenge yetu ya mechi tatu nimeshinda moja .
3.Before hiyo challenge mechi ya mwisho nilikupiga 3-0 rekodi ambayo haijawahi kuivunja.
Sasa mbona unaongipea mashabiki dhahiri kabisa au haujiamini tunafosi rekodi za mchongo kama ushindi wa juzi [emoji23][emoji23][emoji38]
Sawa rekodi ya kapa 3-0 na rekodi ya goli nyingi 6 kipigo amambacho kikubwa zaidi uzi mzima bado haujafuta na mimi vilevile bado GOATKumbuka vizuri mzee baba usilete uhuni hapa, nakuhesabia
Challenge yetu saw na game 3
Umeshinda 1
Game za lig umeshinda 1 sawa na game 5 hizo tayar
Kabla ya hapo nilikuomba friend match nyuma nilikufunga (game ya pil hukutaka kucheza ulikimbia ukasingizia mtandao)
Nilipost matokeo ya hii game hapo juu ukachekwa sana na mashabiki
Rekodi zako hazina mashikoSawa rekodi ya kapa 3-0 na rekodi ya goli nyingi 6 kipigo amambacho kikubwa zaidi uzi mzima bado haujafuta na mimi vilevile bado GOAT
Je ungenifunga 4 0 ningekuwa na chakusema, na je ungenifunga 6 1 ningekuwa na chakusemaSawa rekodi ya kapa 3-0 na rekodi ya goli nyingi 6 kipigo amambacho kikubwa zaidi uzi mzima bado haujafuta na mimi vilevile bado GOAT
Goli zilikua mbili tu na moja lakupewaRekodi zako hazina mashiko
1.kuhusu 3 0 vipi kuhusu game ya mwisho tuliyocheza nilikufunga ngap? (score board ilikuwa inasoma vip?)
2.kuhusu 6 kwa 3 mi sioni tofauti na 4 1 nilizokufungaga labda wew tu ndo unaona kuna tofauti hapo
Rekodi yangu sasa
Katika game za challenge nimekufunga kwa ushindi wa mateso sana kwa game zote mbili nimekufunga kwa clean sheets ambapo hukufanya hivyo hata kwa game moja katika challenge iliyopita
Pia nimemiliki ushindi kwa game 3 nikiwa nimeruhusu goli moja tu lakin wew ulimilik ushindi ktk challenge iliyopita ukiwa umeruhusu goli 5
Samahani mkuu adriz kwa kutoweka vizuri hii rekodi yangu kumrazi[emoji23][emoji23]Goli zilikua mbili tu na moja lakupewa
Mwamba ulijificha wapi siku zote mpaka utokee leo 😂😂😂
Naomba link ya group la DLS WhatsAppSikuwa na chakusema [emoji23][emoji23]
Admin ni Singasinga atakuja kukupa jamaa Fene kwenye ligi inayoendelea ametoka hatua ya makundi japo na kikosi chake kikubwa kuliko wote kwenye grupu A ambalo mimi nimeibuka namba mbili nikisubiria next stage.Naomba link ya group la DLS WhatsApp
[emoji23][emoji23] link imekuja na maelekezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah! Jamaa kaomba link porojo nying za nin?
Endapo link itachelewa kufika, load comments za juu huko utagumiana nayo link[emoji23][emoji23] link imekuja na maelekezo
Nmetumia imekataaEndapo link itachelewa kufika, load comments za juu huko utagumiana nayo link
Haipo mbali sana
ungeneni nyie wawili niwanyoosheRekodi zako hazina mashiko
1.kuhusu 3 0 vipi kuhusu game ya mwisho tuliyocheza nilikufunga ngap? (score board ilikuwa inasoma vip?)
2.kuhusu 6 kwa 3 mi sioni tofauti na 4 1 nilizokufungaga labda wew tu ndo unaona kuna tofauti hapo
Rekodi yangu sasa
Katika game za challenge nimekufunga kwa ushindi wa mateso sana kwa game zote mbili nimekufunga kwa clean sheets ambapo hukufanya hivyo hata kwa game moja katika challenge iliyopita
Pia nimemiliki ushindi kwa game 3 nikiwa nimeruhusu goli moja tu lakin wew ulimilik ushindi ktk challenge iliyopita ukiwa umeruhusu goli 8
Weka code tuchezeungeneni nyie wawili niwanyooshe
Kila siku unanikimbia tu na wewe muoga hauna jambo.ungeneni nyie wawili niwanyooshe
Weka code tuchezepoa wait a minute