Dream League Soccer Special Thread

Haka ka timu nlikapiga 7 kumbe ni wewe jamaa
Sijawahi kupigwa 7 na mtu , weka muda maalumu kuanzia sasa ukiwa na time tukiwashe nije nikate mzizi wa fitina kwani mimi ndio mfamle wa huu uzi na maneno yako ni sawa kumkosea adabu mfamle na adhabu yake ni kifo cha goli 5 kavu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…