Dream soccer siku hizi naiona nyepesi sana, siinjoy kucheza hii game tena. Raha ya game upate ushindani mgumu.
Kuna haka kagemu upande wa graphics na commentary sio kazuri kivile ila ni katamu sana kana ugumu fulani, jaribuni mje mtoe maoni.
Kanaitwa PRO LEAGUE SOCCER (PLS)
View attachment 3069929
Hakikisha unaweka professional level
View attachment 3069930
View attachment 3069931
Kazi kwenu wapenda gemu za mpira.