adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,797
Pira lako Makande hauwezi kutamba mbele ya Master.adriz sitambi kukufunga maana kwangu ni kawaida tu ila nakuomba ujifunze walau kupiga pasi, yani wew ndie unaongoza kwa kucheza butubutu humu, tazama game zote umepigiwa mpira