Master wa Vibonde saw ukiona bado nipo kwny huu Uzi kdg Acha kutumia Majina ya Master.The true King, The true Master of the thread
Nina mpango wa kuongea na mmiliki wa jf liwekwe sanamu langu ktk hii thread
Nimewa-rise vijana wengi humu leo ati nao wana sauti wakiongozwa na adriz
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kwa Pamoja ebu kubalini kunipa heshima yng ili niwe na huruma na nyinyi lkn Kwa haya majigambo ya hovyo nitakuja kuwa vunja hovyoMara ya mwisho kabla ya Kuuza simu yangu yenye uwezo mzuri ,nilimkanda Fene siku mbili mfulilizo mpaka akaSurrender mwenyewe na haleti ubishi akibisha makaburi yapo humu.
Kuhusu unalodai ningependa ueleze kwa kina maana Master sina rekodi mbovu kama hiyo.
Sasa ujawai kufika Tier 1 unajiita vp Master huon km unatumia wadhifa wa watu vbyHongera sana mimi kucheza kwangu kote na Umaster wangu humu nimewahi fika hapo 4 sijawahi kupanda tena.
Kuna Baadhi ya Grp sipend kucheza Kwa 7b ya utaratibu wao wa hovyo mtu unamtafuta mpk unachokaKwa hiyo unamaanisha mpaka kwa Johex na kwenye magroup yote ya wasap haoni competition ya kweli ? siwezi kuamini kuwa umefikia kiwango hicho labda kwa humu sawa.
Hongera ukipata muda njoo tupashe..Aisee nimefuata ushauri wako saizi nipo Tie 4
Tatizo kikosi cha ushindani nimekipata juzijuzi mwanzo nilikuwa unatembea na kikosi dhaifu ndio maana sikuwahi kufika huko .Sasa ujawai kufika Tier 1 unajiita vp Master huon km unatumia wadhifa wa watu vby
We ni kibonde ndomanaHongera sana mimi kucheza kwangu kote na Umaster wangu humu nimewahi fika hapo 4 sijawahi kupanda tena.
Hapo ss ndy Ujue Uwezo wako ni mdg. Piah hata kimbinu ni mdg Kifup ukiwa na Kikos kdg Fanya vice versa km utakuta na mtu anaepiga mipira mirefu weka Forward km CB itakusaidia maana wao ni Quick Response & Fast kuliko Back mwenyewe.Tatizo kikosi cha ushindani nimekipata juzijuzi mwanzo nilikuwa unatembea na kikosi dhaifu ndio maana sikuwahi kufika huko .
Nimependa hiiHapo ss ndy Ujue Uwezo wako ni mdg. Piah hata kimbinu ni mdg Kifup ukiwa na Kikos kdg Fanya vice versa km utakuta na mtu anaepiga mipira mirefu weka Forward km CB itakusaidia maana wao ni Quick Response & Fast kuliko Back mwenyewe.
Tunajaribu kutoa Somo ss mtu unakuta ana Mbape kabla ajawa developed tu ana 90+ Speed kina Rafael Leao ana 88 Kina Haaland 87+ so Ukiweka watakusaidia sn .Nimependa hii
Network iko Chini
KabisaTunajaribu kutoa Somo ss mtu unakuta ana Mbape kabla ajawa developed tu ana 90+ Speed kina Rafael Leao ana 88 Kina Haaland 87+ so Ukiweka watakusaidia sn .
Ebu tupe mautundu yakufka hukoMtoto Kibonde sn hv hyo tier ya 6 ingekuwa ya 2022 ni saw Mi ndy niliishia hiyo Tier lkn hii DLS23 naingia tier 1 na yellow card kabsa
Style of Playing , Mbinu ndg ndg km vile upigaji wa Kona , selection of formation, Najuhudi zako za kujifunza ili Game (Hapa unatakiwa kujifunza madhaifu ya Formation za mpinzani) kuwa akija na formation hii nitumie formation gan au nicheze Kwa style gani mbn Tier 1 ni Chap tu hata wakikushusha ni chap kurudiEbu tupe mautundu yakufka huko
Sasa utamfunga Nani? [emoji2][emoji1787]Natamani nije nipige nyuklia ya vichapo humu ,siipendi nikute zimejaa chattings bila screenshots za vichapo..
Tokea Master nipumzike humu sioni vichapo vikiendelea mpaka napata hasira ......
Sasa Mi nitacheza na Nani Humu Maskini ya MunguNatamani nije nipige nyuklia ya vichapo humu ,siipendi nikute zimejaa chattings bila screenshots za vichapo..
Tokea Master nipumzike humu sioni vichapo vikiendelea mpaka napata hasira ......
Uwenda Storage imeanza KujaMimi hili game ni week ya 2 sasa ina stuck balaa...sijajua tatizo ni nini?