adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,803
Mkuu kunywa soda popote ulipo ,humu sio pa kutunziana siriweka risiti humu ili mtu akikataa iwe kumbukumbu..Yan nilikutunzia heshima yako ili usionekane kiaz lkn umekuja na Maneno ya hovyo bhs matokeo Yako yametoka hayo hapo View attachment 2708898View attachment 2708899View attachment 2708902View attachment 2708903
Sent from my CPH2363 using JamiiForums mobile app
Huju jamaa Fene mweupe kabisa hana mbinu mpira wake anakwenda anakwenda halafu ana kikosi full mziki wote nyota bila hivyo angekuwa levo za King fake wa DLS.Kiukweli we bado sn sasa sijui Yale Maneno ya tambo ulijifunzia wap.
Na kwanini huo muda wa kujifunza hayo maneno ungewekeza kujifunza DLS uwenda atleast ungekuza kiwango
Sent from my CPH2363 using JamiiForums mobile app
Hunielew bwana mdog huniweziii ki rank wala kweny pitch manen mengiii vitendo 0Huju jamaa Fene mweupe kabisa hana mbinu mpira wake anakwenda anakwenda halafu ana kikosi full mziki wote nyota bila hivyo angekuwa levo za King fake wa DLS.
Hujielew bwana mdog huniweziii ki rank wala kweny pitch manen mengiii vitendo 0
Unapata wapi nguvu ya kusema matendo 0 wakati nimekupiga 4 - 0 ?Hunielew bwana mdog huniweziii ki rank wala kweny pitch manen mengiii vitendo 0
Kaka ningekuomba ucheze na adriz naamini na wew utafarijika maana utajibutulia unavyotaka[emoji23][emoji23]Kwa wadau niliowahi kucheza nao humu huyu jamaa MrJobless ni balaa kubwa nimependa Sana staili yake ya uchezaji.. Hana butua butua anapiga pasi kama Brazil ya kina Garincha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu mwingine m-bad ni Eng ibird . Lakini pia Fene ni mkali Ila staili yake ya kucheza ni ovyo kabisa ni kama atletico Madrid [emoji3526]
Hao ni Kwa wale niliocheza nao
Watu mnajua kutunza siri lumber umebondwa mechi nyingi mfulilizo na MrJobless halafu mmevunga 😂😂😂Kaka ningekuomba ucheze na adriz naamini na wew utafarijika maana utajibutulia unavyotaka[emoji23][emoji23]
Nakuibia siri, huyo jamaa kwasasa ndie kiande humu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Adriz sijacheza Naye bado Ila sizani kama anabutua mambo kiasi hicho [emoji16][emoji1787]Kaka ningekuomba ucheze na adriz naamini na wew utafarijika maana utajibutulia unavyotaka[emoji23][emoji23]
Nakuibia siri, huyo jamaa kwasasa ndie kiande humu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Sema kama upo niweke ni mechi 2 tu.Leta code tumalize mzizi wa fitina
Nipo leta codeSema kama upo niweke ni mechi 2 tu.
Notification zinachelewa kuja twende 5050A nakusubiri now.Nipo leta code
Searching....Notification zinachelewa kuja twende 5050A nakusubiri now.
Oi kama uko online nambie nimetangulia huko nakusachiNotification zinachelewa kuja twende 5050A nakusubiri now.
UtanshtuaSijawahi kucheza nae ,kuanzia kesho panapo majaaliwa nitakuwa available kutoa dozi nitakualika kushudia kwa nini naitwa Master wa humu na hili gemu.
[emoji23]maneno meng kakaMkuu kunywa soda popote ulipo ,humu sio pa kutunziana siriweka risiti humu ili mtu akikataa iwe kumbukumbu..
Sasa Fene how dare you to call yourself a Master while you are being humiliated so disgracefully by foreigner like this ?
Nimeumizwa sana kuona umepata aibu kama hii kufungwa mechi 4 vipigo vya aibu ,lakini Master wako nakuja kulipa kisasi kama nikichofanya kwa Singasinga ambaye haujawahi kumfunga sasa huyu MrJobless inatakiwa atambua ameingia kwenye 18 za Nyambisi ngoja ajilete nimuadabishe..