Eng ibird
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 707
- 1,025
Hunielew bwana mdog huniweziii ki rank wala kweny pitch manen mengiii vitendo 0
nenden uwanjan
Hunielew bwana mdog huniweziii ki rank wala kweny pitch manen mengiii vitendo 0
nenden uwanjanNakubali mkuuKwa wadau niliowahi kucheza nao humu huyu jamaa MrJobless ni balaa kubwa nimependa Sana staili yake ya uchezaji.. Hana butua butua anapiga pasi kama Brazil ya kina Garinchamtu mwingine m-bad ni Eng ibird . Lakini pia Fene ni mkali Ila staili yake ya kucheza ni ovyo kabisa ni kama atletico Madrid
Hao ni Kwa wale niliocheza nao
Kaka ningekuomba ucheze na adriz naamini na wew utafarijika maana utajibutulia unavyotaka
Nakuibia siri, huyo jamaa kwasasa ndie kiande humu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Upo free now?Ukija tena weka saa na dakika tukiwashe ,nataka huu uzi uuone mchungu.
Mm sijasema neno baya lkn kakaUkija tena weka saa na dakika tukiwashe ,nataka huu uzi uuone mchungu.
kwann uniambie uwe mchungu10:15Ukija tena weka saa na dakika tukiwashe ,nataka huu uzi uuone mchungu.
Nipo weka code10:15
Unajileta kwenye mdomo wa Mamba...Mm sijasema neno baya lkn kakakwann uniambie uwe mchungu
adzUnajileta kwenye mdomo wa Mamba...
adzNipo weka code
Poa chap
SearchPoa chap
Nasubir results hapaPoa chap



Bhs we utajua Game ? Ukiweza kutoa Acknowledgement Kwa wengine ni Rahis kufika Mbal.Kwa wadau niliowahi kucheza nao humu huyu jamaa MrJobless ni balaa kubwa nimependa Sana staili yake ya uchezaji.. Hana butua butua anapiga pasi kama Brazil ya kina Garinchamtu mwingine m-bad ni Eng ibird . Lakini pia Fene ni mkali Ila staili yake ya kucheza ni ovyo kabisa ni kama atletico Madrid
Hao ni Kwa wale niliocheza nao