Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Naona mshakuwa mnaniogopa master


Haina shida akitokea mtu anawasumbuasumbua msisite kumuelekeza kwangu

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kuna member kaja kuni jaribu kala 3-0 kanikimbia imagine ange nifunga angekuja chap kuongea pumba hapa nilicho gundua hum mtu akikubahatisha kukufunga match moja anakimbia kuja kuku tangaza humu sasa kuanzia now sina msamah na yoyote mmechokoza vitaaa🫅

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana

Utakuwa mrithi wa kiti changu humu bila ya uwepo wangu hawa kina adriz ungejipondea sana

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hongera na kwako pia umenipa challenge kidogo ila ukiongeza ujuzii kidogo basii utafika mbaliii bro maan kwa rank ambay nnayo mimi nishapiga watu kipondo sana yanii ule ubao nachafua win 2 ila now makal yamepungua kidog inshallah ntaludiii kwa kishindo now na enjoy 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inshort napenda challenge kama hizii dls lina mfum wake yanii linaitajii uwe unajipima nguvu na yoyote yule bila ya kuangalia cjuii ame hack au wachezajii wake wamejazwa 100% yanii ww play nae 2 hapo nd unajipima nguv pia na kuiga skills so ukifny hvy kila siku I swear hakun tena mtu ambaye atakusumbuw tena dls mim tangu nianze ku play dls sijawah ku hack natumia uwezo wangu binafsii najifunza kupitia watu mpk leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom