Hemedy rashidy
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 244
- 147
Twende tena mechi mbili.Maneno mengiii kumbe kiande![]()
Uki play na mim play match 3 kutoa sare na mim hiy bahatii kwakoo kwangu loseN
Code 5050A chap njoo
Vipi wewe umeshinda ?Maneno mengiii kumbe kiande![]()
Match 3Twende tena mechi mbili.
Naenda twende chap tumalize ubishi mbili tu.Uki play na mim play match 3 kutoa sare na mim hiy bahatii kwakoo kwangu lose
Unataka ushindo wa penati ? nilikiwepo nikasearch bila mafanikio.Umenikimbia sas why![]()
We kiande twende, acha kuonea dagaa huyoUki play na mim play match 3 kutoa sare na mim hiy bahatii kwakoo kwangu lose




Hahahaha
kila mchezaji ana above 90 rates Yana nguvu SanaHiyo ndio maana ya King humuHahahaha
Mtandao unasumbua sema nini Mzee kucheza na timu kama yako ni inshu ngumu Sana wachezaji umewa edit kinyamakila mchezaji ana above 90 rates Yana nguvu Sana
Mbona unanikwepa na kufuata viande halafu ujisifu kwa kuwafunga viande wakati Master nipo ?
Kama mtabe toa hizo editing halafu ndo uje hapa kutambaHiyo ndio maana ya King humu
Ili uwe super power lazima uwe na vitu vya ziada kuwashinda wenzako
Unayo nafasi ya kujitetea, kajipange
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app