Hii ni kwa wale wanaopenda kucheza magem ya mpira kwenye simu...
Nimecheza Dream League Soccer 2018 na kuchukua makombe yote yaliyojitokeza mbele yangu yaani sina mpinzani kwenye hii game.
Yeyote anayefaham game bora ya mpira zaidi ya DLS iwe apk au inayopatikana play store tujuzane hapa.
Mi mwenyewe nimelicheza sana karibu level zooote..now wame up date toleo la 2019...but mi sijalipenda...timu pinzani ni dhaifu sana...zinafungika kirahisi mno