Dream House: Tunachora Ramani za nyumba za kisasa

Dream House: Tunachora Ramani za nyumba za kisasa

Engineer mkuu

Member
Joined
Oct 11, 2014
Posts
99
Reaction score
21
Usihangaike kujenga nyumba bila Design nzuri, Wasiliana nasi tukudizainie na tukuchoree ramani ya kisasa ya nyumba yako. Pia tunafanya makadirio ya gharama zote za ujenzi. Wengi wanajenga sasa kwani bei zetu ni chee kwa mwananchi wa kawaida.

Tupo Dar, karibu na Ubalozi wa Marekani. Kwa walio mikoani watatumiwa michoro yao.

Piga simu/whatsapp 0717 040837/ call 0683425533
 
nitumie email yako nikutumie kiramani nilichonacho nahitaji kukiboresha kukizi mahitaji yangu
 
Tunachora Ramani za kisasa za Nyumba kwa bei chee ya mtanzania wakawaida.tupo Dar, walio mkoani watatumiwa michoro Yao.
Piga simu/whatsapp 0717 040837/0683425533.
 
Tunachora Ramani za kisasa za Nyumba kwa bei chee ya mtanzania wakawaida.tupo Dar, walio mkoani watatumiwa michoro Yao.
Piga simu/whatsapp 0717 040837/0683425533.

Tunawatengenezea tovuti safi kabisa kwa ajili ya matangazo ya biashara na kampuni yenu.

Huduma mbalimbali za tovuti yenu mwaka mzima kwa bei nafuu hutajilaumu kujaribu.

Siku kumi na nne utakabidhiwa website yenu. Au kurejesha pesa.
 
Na kama kampuni yenu si rasmi. Mtapewa njia safi ya kurasimisha kampuni yenu. kwa bei ya kitupwa.

Epukeni biashara za mifukoni. Sajiri kwa ulaiini biashara yako ijulikane upate wateja.

karibuni.
 
Una ndoto za kujenga Nyumba yako na huna design, tupo kutimiza ndoto yako. Tunachora Ramani za nyumba za kisasa kwa bei chee, tupo Dar, Mwai Kibaki road karibu na Zantel makao makuu.

Piga simu / Whatsapp 0717 040 837 / 0683 425 533.

Kwa walio mkoani watatumiwa michoro Yao. Karibuni tujenge makazi bora.
 
Hivi unawezaje kuweka tangazo na kuelekeza mahali mlipo pasipo hata kutaja jina la kampuni/kibanda/ofisi yenu?

Halafu unashindwa hata kuweka picha kadhaa za kazi yenu ili walau watu waone ubora wenu...!!!

Unandoto zajujenga Nyumba yako na huna design, tupo kutimiza ndoto yako. Tunachora Ramani za nyumba za kisasa kwa bei chee,tupo Dar,mwaikibaki road karibu na zantel makao makuu. piga simu/whatsapp 0717 040837 /0683 425533.
Kwawalio mkoani watatumiwa michoro Yao. Karibuni tujenge makazi bora.
 
Hivi unawezaje kuweka tangazo na kuelekeza mahali mlipo pasipo hata kutaja jina la kampuni/kibanda/ofisi yenu?

Halafu unashindwa hata kuweka picha kadhaa za kazi yenu ili walau watu waone ubora wenu...!!!

Kama unashida piga simu hizo nimetoa acha kubwabwaja kama huna akili, usijifanye Fundi kuongea kua na adabu nakazi zawatu piga simu uulize ofisi zilipo utaelekezwa hii sio tv.
 
Kama unashida piga simu hizo nimetoa acha kubwabwaja kama huna akili, usijifanye Fundi kuongea kua na adabu nakazi zawatu piga simu uulize ofisi zilipo utaelekezwa hii sio tv.

hata kama ana shida hawezi kuja haya majibu aibu nimeona mimi

cc Watu8
 
Last edited by a moderator:
hata kama ana shida hawezi kuja haya majibu aibu nimeona mimi

cc Watu8[/QUOTE
Hawezi kuja huyo sio mteja ni mchangia hoja wakati hii sio mada, wateja wangu wanaendelea kuwasiliana namimi hata sasa. Picha zipo nyingi tu ku upload ndio shida lazima uwe muelewa.ndiomaana nikatoa namba ya whatsapp ukihitaji ntakutumia Raman zangu uone ubora.
 
Last edited by a moderator:
Kama unashida piga simu hizo nimetoa acha kubwabwaja kama huna akili, usijifanye Fundi kuongea kua na adabu nakazi zawatu piga simu uulize ofisi zilipo utaelekezwa hii sio tv.

acha kufanya kazi kihuni, kuwa serious

isiwe by the way tu au bado unalala kwa baba
 
Ewe Mhandisi mkuu hebu kuwa mpole kumbuka kuwa na lugha ya staha...hawa pia ni wateja wako watarajiwa hivyo hata kama umeudhika vicha jazba zako.Unachotakiwa kama walivyo kushauri Pakia(Upload) picha za michoro hapa itakupa urahisi kwa watu wengi kuziona kuliko kutuma michoro kwa kila mtu atakaye hitaji
 
Kama unashida piga simu hizo nimetoa acha kubwabwaja kama huna akili, usijifanye Fundi kuongea kua na adabu nakazi zawatu piga simu uulize ofisi zilipo utaelekezwa hii sio tv.

Teh teh teh

Haaya subiri utapigiwa simu.sawa eeh?
 
Jamaa ni jembe balaa kazi zake ziko makini sana, mnaojenga fikeni kwake. Mtaenjoy sana mijengo ya ukweli bei za kiafrika hata mkulima anamudu kulipia michoro yote, boq, vyuma n.k
 
Jamaa ni jembe balaa kazi zake ziko makini sana, mnaojenga fikeni kwake. Mtaenjoy sana mijengo ya ukweli bei za kiafrika hata mkulima anamudu kulipia michoro yote, boq, vyuma n.k

Mfanyabiashara mbabe huyo, anaogopesha prospective clients wake humu
 
mhandisi kweli? you might be just a graduate engineer or a mere architect...........
 
Back
Top Bottom