DRC arrests FDLR Chief Of Staff, refuses to extradite him

mchambawima1

JF-Expert Member
Oct 16, 2014
2,487
738

MONUSCO officials take details of a supposed FDLR combatant. The militia group hands over severely sick, old or injured combatants

Congolese national intelligence agency ANR has arrested Brig. Gen. Mujyambere Leopord – chief of staff of FOCA, the armed wing of the Rwandan FDLR militia group, KTPress can exclusively reveal.

Mujyambere, also with aliases Musenyeri; Achille; Frere Petrus Ibrahim – was intercepted in Goma city – capital of North Kivu province on his way from South Africa via Zambia. Under UN sanctions, it is not entirely clear what he had been doing in South Africa.

While in Goma today, Mujyambere was tracked down by the Congolese national intelligence agency ANR (Agence Nationale des Renseignements ). He was later whisked away and flown to the Capital Kinshasa.

The Congolese intelligence has kept the development a tight secret but highly placed sources in the UN mission known as MONUSCO have told KT Press that Kinshasa is only willing to handover Mujyambere through diplomatic channels.

FDLR listed as a terror organization by the United States – continues to wreak havoc committing war crimes and human rights abuses in DRCongo. The combatants regularly carry out rape, extortion and killings against Congolese civilians.

In evidence collated by the UNSC DRC Sanctions Committee Group of Experts, detailed in its numerous reports, girls recovered from FDLR-FOCA had previously been abducted and sexually abused.

Since mid-2007, FDLR-FOCA, which previously recruited boys in their mid to late teens, has been forcefully recruiting youth from the age of 10 years.

The youngest are then used as escorts, and older children are deployed as soldiers on the frontline, per Security Council resolution 1857.

The rebel outfit is comprised of soldiers and interahamwe militia who executed the Genocide against Tutsi in Rwanda in 1994 – and fled to now DRC.

Mujyambere has been working closely with Sylvestre Mudacumura the overall commander of FOCA the military wing of the FDLR rebel group. Majyambere is said to be among the top hardliners in FDLR.

With more than 3400 combatants spread across large sways of Congo – and still recruiting, the FDLR has refused to disarm despite several deadlines it has ignored.

It claims to have surrendered its combatants reaching about 300 – but a review found nearly all were about to die due to poor health, old or severely injured.

Some Ageing and sick FDLR combatants assembled at a Camp in DRCongo

Source: KT Press
 
upotoshaji kama kawaida:
1. Kichwa cha habari kinasema "refuse to extradite him", swali ni "extradite him to where?", wapi ambapo huyu mtu anatakiwa na kwa kosa gani? Endapo nchi hiyo itakuwa ni Rwanda basi Rwanda ieleze kwanza kwa nini haitaki kumu extradite Laurent nkundabatware na maelfu ya askari wengine wa M23 ambao inawahifadhi nchini humo kwa kuwa hao wana mashitaka na hati za extradition kutoka DRC!
2. FDLR listed as a terror organization by the United States: huu ni uongo, fact is US ilishaondoa FDLR kwenye orodha ya vikundi vya kigaidi. Na by the way wakati FDLR inawekwa kwenye list ya vikundi vya kigaidi nchini marekani, guess kundi gani lingine lilikuwamo? The ANC ! Go figure.
3. Post ina quote committee of experts, kichekesho ni kwamba Rwanda imekuwa ikikataa ripoti zote za experts wa UN kama hao wanaoituhumu kuhusika na mauaji ya kimbari nchini DRC dhidi ya wahutu, ambayo ndio yaliyopelekea FDLR kuanzishwa!
4. The rebel outfit is comprised of soldiers and interahamwe militia who executed the Genocide against Tutsi in Rwanda in 1994 – and fled to now DRC. : This is another lie, serikali ya rwanda haina JINA LA MTU HATA MMOJA anayetuhumiwa katika mahakama yoyote ile kuhusiana na mauaji ya kimbari 1994. Isitoshe kila siku, rwanda imekuwa ikihonga wanachama wa FDLR wamkubali Kagame kama rais halali na warudi nyumbani. Mwanzilishi na kamanda wa kwanza wa FDLR alipewa cheo cha ukuu wa magereza (katumbuliwa majuzi sijui anahamishiwa wapi), na wanachama wadogo wadogo wa kawaida endapo watarudi wanatakiwa kupewa KISHERIA ardhi na fedha za kuanzisha maisha mapya ndani ya Rwanda. Hivi ndivyo wanavyofanywa magaidi/interahamwe kweli? Sio kushitakiwa na kufungwa?
 
acha kelele! cha muhimu, katolewa polini! ndicho tutakacho zaidi, mengineyo... stay tuned!
 
... na hiyo ni serikali, shangaa sasa! waliouliwa ndugu zao, wao ndio balaa! UBUMUNTU my friend! wamewasamehe na wameenda mbali zaidi... wanawapikia ugali hadi mnavimbiwa! AMANPOUR shahidi wangu... haki ya nani, nyie watu wa ajabu kweli, mimi ndio ningekuwa huyu ndugu yako hata tonge lisingeshuka...
 
Badala ya kujibu maswali wewe unaposti video. Bora giga zangu niangalie chura bana...umeleta thread, imepigwa nondo, jibu nondo au sepa...
 
Mods, fanyeni mpango members mchambawima 1 na vyuma wakutanishwe physically ili tuone nani zaidi
 
heheheheehhh, Mods pleeeease... msithubutu!!! huyu Gama mfuasi wa jMali hanitakii mema hata kidogo! anajifanya hajuwi kina vyuma walimfanya nini Marehemu Mzee BIHOZAGARA(RIP)? sumu zenu zipo mtandaoni na tunazikabili hapa hapa mtandaoni na kama ni mambo ya ubabe basi hayo tushatoa contract kwa mbabe wenu Mh. Kagame na timu yake...
 
The video is self explanatory sio upupu wako wa kutunga unaotuletea hapa,keep fighting a loosing battle labda ndio mshahara wako unakotoka
 
Mods, fanyeni mpango members mchambawima 1 na vyuma wakutanishwe physically ili tuone nani zaidi
Mkuu Gama, unataka niuawe ? Mchambawima1 ni wakala wa mauaji wa Paulo Kagame, wataka anitoe roho kweli ? Kumbuka, kuna thread moja mchambawima1 aliniambia, nanukuu, " our security organs are watching every step you make" , unaelewa maana yake ? Gama tafadhali niombee kwa Mungu aniepushe na balaa hilo. Hushangai tu kila baya linalotokea iwe Rwanda ama Burundi au Congo mchambawima1 anakuwa wa kwanza kulileta mitandaoni ? Anashiriki kila dhulma inayotokea kwenye nchi hizo chini ya usimamizi wa baba mtakatifu wake na mwenye heri wake Paulo.
 
heheheheehhh, Mods pleeeease... msithubutu!!! huyu Gama mfuasi wa jMali hanitakii mema hata kidogo! anajifanya hajuwi kina vyuma walimfanya nini Marehemu Mzee BIHOZAGARA(RIP)? sumu zenu zipo mtandaoni na tunazikabili hapa hapa mtandaoni na kama ni mambo ya ubabe basi hayo tushatoa contract kwa mbabe wenu Mh. Kagame na timu yake...
Nimeona mnajificha nyuma ya keyboards kisha mnatujazia server, niliwahi kushauri mods waanzishe jukwaa lenu peke yenu coz thread kama hii ni nyinyi mnanyukana sie tunabaki kutazama tu, mimi siyo mfuasi wa member yeyote bali mpenda kujua na kufuata haki na ukweli,
 
Interahamwe wahedi wewe since day one umeingia humu leo unajifanya neutral,interahamwe sio watu nyie
 
Mkuu Gama, unataka niuawe ? Mchambawima1 ni wakala wa mauaji wa Paulo Kagame, wataka anitoe roho kweli ? Kumbuka, kuna thread moja mchambawima1 aliniambia, nanukuu, " our security organs are watching every step you make" , unaelewa maana yake ? Gama tafadhali niombee kwa Mungu aniepushe na balaa hilo. Hushangai tu kila baya linalotokea iwe Rwanda ama Burundi au Congo mchambawima1 anakuwa wa kwanza kulileta mitandaoni ? Anashiriki kila dhulma inayotokea kwenye nchi hizo chini ya usimamizi wa baba mtakatifu wake na mwenye heri wake Paulo.
don't shoot the messsenger! kuwareport mauwaji mnayofanya ndio uuwaji wenyewe? poor judgment kama hizi, ndio zinawafanya muendelee kuuwana na kuigawa nchi yenu! BTW poleni kwa kumpoteza Raisi aliyekuwa VISIONARY na PATRIOTIC kuliko ma-Raisi wote waliowahi kuongoza Burundi, RIP Bagaza jMali
 
Alikuwa visionaly kwa watusi wenzie sio kwa warundi wote. Kwa bahati nzuri uzi wako unajieleza jinsi alivyokuwa anawapendelea watusi kwenye serikali yake. Kati ya magavana 15 , wawili tu ndio wahutu, mawaziri, wakuu wa majeshi ( polisi, magereza, jeshi na uhamiaji) watusi tupu. Halafu unasema alikuwa visionaly, ! Hana tofauti na muhima paka. 15% ya wanyarwanda ambao ni watusi ndio wanaenjoy utamu wa nchi. I once asked you to give us the exact number of hutu officiers, high ranked in Rwanda. Mpaka leo unarukaruka tu kama maharage yanayopikwa.
 
Back
Top Bottom