Hiyo sio Klabu Bingwa ie CAF championship, hata kama Simba haipo ni sawa tu maana ni level ndogo. Ni sawa na BM kuchujwa kwenye level ya urais kisha kutokuwa mbunge pia, hawezi kuwa mnyonge kwa kuwa Kibajaj ni mbunge..............Ndugu zetu Mbumbumbu wanakula kwa macho!
Hiyo sio Klabu Bingwa ie CAF championship, hata kama Simba haipo ni sawa tu maana ni level ndogo. Ni sawa na BM kuchujwa kwenye level ya urais kisha kutokuwa mbunge pia, hawezi kuwa mnyonge kwa kuwa Kibajaj ni mbunge.
Ukweli ndio huo, kwamba Shirikisho ni level ndogo kwa Ligi ya Mabingwa, bila kujali timu inayoshiriki imewahi kuchukua ubingwa ama laUmeandika madudu bro.....Hiyo mnayoita level ndogo mshawahi kuibeba ubingwa wake mara ngapi?
Ukweli ndio huo, kwamba Shirikisho ni level ndogo kwa Ligi ya Mabingwa, bila kujali timu inayoshiriki imewahi kuchukua ubingwa ama la