Draw ya leo ya CAF itakavyoenda

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,223
Timu kutoka POT A draw itachezeshwa na timu za POT D.
Timu za POT B draw itachezeshwa na POT C.

Safari njema Yanga.
FB_IMG_1570635585446.jpeg
 
Hiyo sio Klabu Bingwa ie CAF championship, hata kama Simba haipo ni sawa tu maana ni level ndogo. Ni sawa na BM kuchujwa kwenye level ya urais kisha kutokuwa mbunge pia, hawezi kuwa mnyonge kwa kuwa Kibajaj ni mbunge.

Umeandika madudu bro.

.......Hiyo mnayoita level ndogo mshawahi kuibeba ubingwa wake mara ngapi?
 
Umeandika madudu bro.....Hiyo mnayoita level ndogo mshawahi kuibeba ubingwa wake mara ngapi?
Ukweli ndio huo, kwamba Shirikisho ni level ndogo kwa Ligi ya Mabingwa, bila kujali timu inayoshiriki imewahi kuchukua ubingwa ama la
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom